Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Swami Madhusudan ji ni one of the best preachers in "HINDUISM" napenda kuwasikiliza sana .. leo nimeona amendika makala flani sijajua niweke jukwaa gani ila nataka ku share nanyi ... ukiisoma kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara Manispaa na vitongoji vyake na kunaonesha dalili ya kuendelea kunyesha tena. Naomba kujuzwa na wana jamii forums endapo hii ni moja ya mvua zilizotabiliwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Chini ni email ya mgeni wangu wa zamani baada ya kumtumia Newsletter.. ====== Thank you for the information on a TZ safari. I will not visit TZ and spend my money there until Kikweti gives up...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1,550 PER DAY i.e 250/= breakfast {maandazi 2@100 na chai 50}, lunch ubwaubwa maharage 800/=,dinner 450/=, mohogo 4@100, uji 100/=. So kwa mwezi Tsh. 46,500/= Jamani tuache kulalamika, mbona...
0 Reactions
1 Replies
772 Views
mchana huu polisi wamepiga mabomu hapa mnazimoja kusambaratisha kikundi cha Waislamu kilichokuwa kikiandamana kupinga Waislamu wenzao waliokamatwa huko Mbagala.
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Jumatatu katika kipindi cha Jahazi bwana kibonde alisema, tofauti na huku kwetu kule marekani hata mtu awe mjinga vipi anaweza tu kuongoza ile nchi, alisema mfumo wa marekani unawezesha mtu yeyote...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
TANZANIA na Oman zina uhusiano wa kidamu na kindugu ambayo ni maalumu unaopaswa kudumishwa, kuthaminiwa na kuenziwa kwa dhati. Rais Jakaya Kikwete amemuambia Mfalme Qaboos bin Said katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hali ya ubadhilifu inadhihilika pale ambapo mkurugenzi akishirikiana na mkuu wa wilaya wanapotumia pesa za serikali na kuzipeleka katika shughuli za CCM. Nimeithibitisha hii leo hii ambapo mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo tarehe 17, wiki mbili tangu kuanza kwa mwezi huu wa oktoba ambapo TMA walitabiri zingenyesha El Nino. Hakuna El Ninyo, japo manyunyu. Sisemi haya kumaanisha natamani El Nino, la hasha. Hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hawa investors wanaochimba madini hasa kwa hii njia ya uchimbaji ya underground kuna mtu yeyote ambae anawamonitor wchimbe hadi wapi, maana wanaweza kwenda mbali zaidi hapo inakuwje naomba msaada...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Haipiti miezi2 bila kuuana kwa mapanga,kuchoma nyumba,mikuki n.k kwann nyinyi tu wanyamwezi? ama kwann mnauana ka kuku?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nisaidieni wanajamvi, Hivi Wanahabari si walisema wangegomea kuandika habari zinazolihusu Jeshi la Polisi, labda zile mbaya tu ndizo wangeziandika! Msimamo huu bado unafuatwa au walishaachana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na mtandao huu wa simu wa Tigo, nimekuwa kila siku najaribu kuangalia mwenendo wa huu mtandao hata siuelewi lakini sikujali, ila siku zilivyokuwa zinaendelea niliona tabia hii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa ccm Mkoani Mwanza yameingia dosari baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa huo Clement Mabina kukataa matokeo ya uchaguzi huo katika nafasi ya uenyekiti na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia utabili wa mamlaka hii kwa muda sasa.kati ya tabiri zao 10,naweza kukadiria kuwa ni 2 tu huwa wanapatia.pengine niwashauri wataalam hawa kuachana na kutabiri badala yake wawe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika utawala wake ndipo watu wengi wa hali ya chini kama, Wamachinga na wafanyabiashara ndogondogo waliweza kujenga na kufanya mambo mengi ya Maendeleo, dhana ya kujiajiri ilikuwa inawezekana...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu aliye eneo la tukio kuwa kuna vurugu kubwa zinaendelea eneo la Chan'ombe Dar. Vurugu hizo inasemekana zinahuzisha askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) na watu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Sheikh kutoka Jumuiya na Taasisi za kiislamu Tanzania Ponda Issa Ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya...
1 Reactions
106 Replies
9K Views
picha sina ila ni D220 Benz si jui ni la yule mzee wa njiro au maana limekuwa majivu kabisa siyo rahisi kulitambua ila imebakia ile nembo ya D220 kwa nyuma tu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanausalama barabarabani wakipima ajali hiyo iliyosababisha kifo cha mtu mmoja ambaye ni dereva wa basi lenye namba za usajili T 853 BRB lililokuwa na wajumbe wa CCM kutoka wilaya ya Kwimba mkoani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…