Ubadhilifu mkubwa na uingiliaji wa CCM katika pesa za serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubadhilifu mkubwa na uingiliaji wa CCM katika pesa za serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwaisenya pipo, Oct 17, 2012.

 1. m

  mwaisenya pipo New Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ya ubadhilifu inadhihilika pale ambapo mkurugenzi akishirikiana na mkuu wa wilaya wanapotumia pesa za serikali na kuzipeleka katika shughuli za CCM. Nimeithibitisha hii leo hii ambapo mmoja wa wakaguzi mkoa wa Mbeya alipokua akilalamika mbele yangu hili hali akikuta upungufa wa mil 30, na alipojaribu kumuhoji mkurugenzi akajibu tukae pembeni hizo ni order za juu wamekuja watu toka chama na order toka juu.

  Pia katika ofisi ya mkuu wa mkoa hali imekua mbaya pia kuna baadhi ya pesa zimetoka mwezi huu mwanzoni kwa ajili ya shughuli za chama,ushawishi mkubwa wa mkuu wa mkoa.Kwa namna hii tunafika wapi tunajenga taifa gani je hili ni taifa la ufujaji nao CHADEMA wakaombe pesa wilayani na ofisi za rais hili hali ruzuku zipo .................
   
 2. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  NDIO MAANA watu wana ikataa ccm pamoja kero zake ni kama shetani kawaingilia.wamejisahau wanadhani nchi hii ni yao.mbona siku ikifika tuta jenga magereza mengine fasta kwaajili yao.
   
 3. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  hata sisi wa huku shamba tunasubiri nafasi ya kupiga kura tena watatujua sisi waajiri wao tumechoka kusikiliza ahadi zisizotekelezeka kila kukicha, inawezekana kabisa tunashindwa kujenga barabara na mambo mengi ya msingi ili kukiimarisha chama cha wachache wenye mahela na dharau..
   
 4. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hili ni tatizo lililoota mizizi kiasi hata taasisi kama tanesco ,nssf, na nyingine nyingi zimekumbana na huu utawala wa ccm .imefika muda sasa kutengenisha kofia hizi mbili ccm iwe na pesa zake ijiendeshe yenyewe iacha mifuko kama nssf ,shirika la ugavi wa umeme wafanye kazi ,hapa ndio utaona kiongozi wa ccm anatembelea miradi ya umeme .huu ni muingiliano wa kiutendaji wa kazi za watu wengine.
   
Loading...