Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
IMG_3194.jpg

Sheikh kutoka Jumuiya na Taasisi za kiislamu Tanzania Ponda Issa Ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya kunajisiwa kwa kitabu kitufu cha Qur'ani. Kushoto ni Imamu Mkuu wa Masjid Al-Amin Sheikh Ibrahimu Ghulaam na kulia ni Kiongozi wa Jumuia na taasisi na A-mallid Rajab Kitimba.

Na.MO BLOG TEAM

Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania wametoa tamko kufuatia kitendo cha kijana Emmanuel Josefati (14) kukojelea kitabu kitukufu cha Qur'an na kusababisha mgongano wa mawazo miongoni mwa watanzania.

Katika tamko lao wamesema ‘Tunalaani Kitendo cha kukojolewa Qur'an Tukufu ambayo ni Kitabu Kitakatifu kwa Waislam Wote Duniani'.

‘Tunataka kusikia tamko la serikali la kulaani kitendo cha kukojolewa Qur'an'.

‘Tunataka serikali kukemea kitendo cha Jeshi la Polisi kushambulia Misikiti, waumini na Kuvuruga ibada'.

‘Tunalaani vitendo vya uchokozi wa kidini'.

‘Tunalaani matumizi ya matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia yaliyofanywa na Polisi'.

‘Tumehuzunishwa sana na kitendo na kitendo cha kushambuliwa Misikiti na Makanisa kilichotokea Mbagala'.

‘Tunatoa siku 7 ndani ya siku hizi Waislamu wanaoshikiliwa na Polisi wapewe haki yao ya dhamana'.
 
Kumekucha!Kama kweli na yeye amekamatwa,tusubiri kusikia amri zingine zikitolewa kwa serikali!
 
'Tunalaani chuki na chokochoko inayoenezwa na radio/tv imaan'

'Tunalaani mbegu mbaya iliyopandwa na mkuu wa kaya'

'Tunalaani kuacha mbegu hiyo iote mizizi na kuchipua'

'Tunalaani kukosa kiongozi shupavu wa kukemea haya na hasa radio/Tv imaan'

'Tunalaani kufungiwa Mwanahalisi na kuacha radio imaan ikikiuka maadili'

Mungu ibariki Tanzania.
 
Tunalaani tapeli anayejiita shehe Issa Ponda mrundi anayeeneza chuki ili Tanzania iwe kama kwao Burundi.
Tulaani rais anayewalea wahuni na matapeli kama Ponda bila kuwarejesha kwao au Segerea
Tunalaani wanaotumia dini kufanya wizi hasa wa divai na jenereta
Tunalaani wote wanaojali dini zao kabla ya taifa lao
Wote hao walaaniwe.
 
Full kulaani, nalaani kitendo cha ponda kuwachochea watanzania wagawanyike kwa dini zao. Tunalaani kitendo cha serikali kufumbia macho viongozi wa dini wanaoleta uchochezi miongoni mwa waumini wa dini mbalimbali.

Tunalaani redio za dini zinazochochea migawanyiko ya kidini, badala ya kuwafundisha maadili mema. Tunalaani watanzania wenzetu wanaoshabikia huu uchochezi unaofanywa na radio imani kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa mawazo!
 
hii jamii ya wenzetu wamekuwa kama wadudu wa porini,hivi mnamusujudu SAW kuliko Muumba anayesema usiutoe uhai wa mtu?
 
Analaani nini sasa huyu, mbona yuko kimya kuhusu kuchoma makanisa huyu....AAARGH!
aipe serikali siku saba kama nani? otherwise itakuwaje...aache vitisho vya ajabu!
 
Tunalaani tapeli anayejiita shehe Issa Ponda mrundi anayeeneza chuki ili Tanzania iwe kama kwao Burundi.
Tulaani rais anayewalea wahuni na matapeli kama Ponda bila kuwarejesha kwao au Segerea
Tunalaani wanaotumia dini kufanya wizi hasa wa divai na jenereta
Tunalaani wote wanaojali dini zao kabla ya taifa lao
Wote hao walaaniwe.

Pia tunalaani wanaotaka kumng'oa mufti
Tunalaani wanaotaka kumng'oa Dr Ndalichako
Tunalaani waliovamia kiwanja pale chang'ombe
 
Nalaani wooooooooote wasiompenda Sheikh Panda,
Nalaani wanaounga kunajisiwa Qur'an takatifu
Napongeza kwa kile waislam wanachokifanya ili kutetea haki zao
Nalaani viongozi wote wa kanisa katoliki kutuma watoto kunajisi msahafu
Nalaani wafuasi wote wa cdm na wanaouchukia uislam

Na wanaomlaani ponda na redio imani laana ziwarudie mara dufu tene bila kikomo

Tanzania inaelekea kua Rwanda muda si mrefu!!
Na kama ni ya Rwanda yaje,sisi waislam dam yetu si chochote ktk dini ya ALLAH(s.w)
Nasema hiviiiii Ya RwAnDa YaJe
 
Je vitabu vya dini vina faida gani iwapo mioyo yetu imejaa maovu tena yasiyosemekana?,mfano:wizi,unyang'anyi,uasherati,ufiraji,chuki,ubinafsi,majivuno,na mambo kama hayo kwa kisingizio cha dini?.
Kama kweli tunampenda mungu kwa nini tusiyaache maovu yetu kwanza?,
 
Ni Kulaani tu...! Nalaani TV, Radio na magazeti yote (ikiwemo radio Imaan) kwa kumpa airtime/muda wa kusikika huyu tapeli anayeitwa Ponda Issa Ponda. Acheni kumpa umaarufu asiostahili.
Nalaani waislaam wote na watu wengine wanaye msikiliza huyu Tapeli Ponda.
Endeleeni kulaani tafadhali.....
 
Nalaani wooooooooote wasiompenda Sheikh Panda,
Nalaani wanaounga kunajisiwa Qur'an takatifu
Napongeza kwa kile waislam wanachokifanya ili kutetea haki zao
Nalaani viongozi wote wa kanisa katoliki kutuma watoto kunajisi msahafu
Nalaani wafuasi wote wa cdm na wanaouchukia uislam

Na wanaomlaani ponda na redio imani laana ziwarudie mara dufu tene bila kikomo

Tanzania inaelekea kua Rwanda muda si mrefu!!
Na kama ni ya Rwanda yaje,sisi waislam dam yetu si chochote ktk dini ya ALLAH(s.w)
Nasema hiviiiii Ya RwAnDa YaJe
MUNGU WETU WA AMANI AKUSAMEHE, HUJUI USEMALO!!! MUNGU WETU MWEMA HATORUHUSU DAMU KUMWAGIKA TANZANIA! Unaongozwa na shetani, shetani ndiye hupenda na kuchochea vita, sali, funga, mchukie shetani! TETEA AMANI!
 
Ni Kulaani tu...! Nalaani TV, Radio na magazeti yote (ikiwemo radio Imaan) kwa kumpa airtime/muda wa kusikika huyu tapeli anayeitwa Ponda Issa Ponda. Acheni kumpa umaarufu asiostahili.
Nalaani waislaam wote na watu wengine wanaye msikiliza huyu Tapeli Ponda.
Endeleeni kulaani tafadhali.....
WALAANIWE WOTE WANAOCHOCHEA VURUGU NA VITA NCHINI KWETU TANZANIA! MUNGU si mwanadamu, hatakuwa upande wao!
 
Back
Top Bottom