Benzi la teketea na moto njiro karibu na geti ya kk security | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benzi la teketea na moto njiro karibu na geti ya kk security

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ceasarphilly, Oct 17, 2012.

 1. c

  ceasarphilly Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  picha sina ila ni D220 Benz si jui ni la yule mzee wa njiro au maana limekuwa majivu kabisa siyo rahisi kulitambua ila imebakia ile nembo ya D220 kwa nyuma tu.
   
 2. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo kama alikua ana uwezo wa kumiliki benzi bazi vitz ya kumfanya asipande daldala hampi tabu.
   
 3. K

  KWA MSISI Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna yard ya kuuzia magari maeneo hayo,yamepona kweli?pole zake mwenye hilo benzi.
   
Loading...