Budget

Asa79

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
592
163
1,550 PER DAY i.e 250/= breakfast {maandazi 2@100 na chai 50}, lunch ubwaubwa maharage 800/=,dinner 450/=, mohogo 4@100, uji 100/=. So kwa mwezi Tsh. 46,500/=
Jamani tuache kulalamika, mbona maisha rahisi tu?
 
Jamani tusimlaumu kikwete na ccm yake tujilaumu wenyewe kwa kupenda anasa kwa matumizi kuzidi mapato yetu eeeh
 
Back
Top Bottom