Tabora kuweni wastaarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabora kuweni wastaarabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rweye, Oct 17, 2012.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Haipiti miezi2 bila kuuana kwa mapanga,kuchoma nyumba,mikuki n.k kwann nyinyi tu wanyamwezi? ama kwann mnauana ka kuku?
   
 2. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huko si ndiko walikonyweshwa maji ya bendera...bado wanatumia za jadi,arusha na mwanza ukuileta zako kuna vijitu vinakaa kiunoni,alakini hata hao wanyamwezi watakua wana vijua,ni kile kidubwana yule msomali wenu wa kinyamwezi alipanda nacho jukwaani kumnadi KAFUMU kule tabora alafu matokeo yake jamaa akapokwa ubunge,duh !...ushamba mzigo kweli.
   
 3. L

  Luca Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aise hali ni mbaya hatuna aman sisi tunaoishi huku
   
Loading...