JK ataka uhusiano Oman na Tanzania udumishwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK ataka uhusiano Oman na Tanzania udumishwe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUNIJUI, Oct 17, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  TANZANIA na Oman zina uhusiano wa kidamu na kindugu ambayo ni maalumu unaopaswa kudumishwa, kuthaminiwa na kuenziwa kwa dhati. Rais Jakaya Kikwete amemuambia Mfalme Qaboos bin Said katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika katika nyumba ya kifalme ya Al -Alam baada ya kuwasili katika Taifa la Kifalme la Oman kuanza ziara ya kiserikali ya siku nne juzi mjini Muscat. “Tanzania na Oman zina mashirikiano maalumu kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwa sababu ya undugu wa damu uliopo baina ya Watanzania na wa Oman, hivyo hii ni ziara maalumu sana katika nchi zetu,” Rais Kikwete amemuambia Mfalme Qaboos. Mfalme Qaboos amekubaliana na Rais Kikwete na kumueleza kuwa ni muhimu uhusiano huo ukadumishwa zaidi kwa njia ya uwekezaji katika nyanja mbalimbali, hasa katika viwanda. Rais Kikwete amepokewa rasmi kwa kupigiwa mizinga 21 na kuandaliwa chakula maalumu cha usiku ambapo Rais na ujumbe wake wamehudhuria. Katika ujumbe wake, Rais amefuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Waziri wa Biashara na Viwanda, Dk Abdallah Kigoda, Waziri wa Kazi, Ushirika na Uwezeshaji Zanzibar, Haroun Ali Suleiman na Naibu Waziri Fedha, Janet Mbene. Katika ziara hii, pia Rais amefuatana na wafanyabiashara kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ambapo jana alitarajiwa kuwa na kikao na wafanyabiashara wa Tanzania na Oman na hatimaye kutia saini makubaliano ya kibiashara na kiuchumi baina ya nchi mbili hizi. Mbali na kufanya mkutano na wafanyabiashara, Rais alitarajiwa kutembelea makumbusho ya jeshi na jioni alitarajiwa kukutana tena na Mfalme kwa ajili ya chakula binafsi cha usiku.
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kikwete anafanya makusudi ili waje wachome moto makanisa yetu.

  Hao Waarabu ni majambazi wakubwa, wenzao huku wanatupa shida sasa anataka kuongeza ameshaona bado hawajamaliza kuunguza makanisa.

  Ningelimsifia kama angeleta wawekezaji kwa ajili ya kujenga hospitali na shule za kitaaluma. na siyo hao watakuja kujaza misikiti kila kona isiyo na maana wala faida kwetu.

  TANZANIA suluhisho LAKE NI VITA YA KIDINI, NDIPO TUTAKAPOHESHIMIANA.
  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
Loading...