hebu tuongelee madini yetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hebu tuongelee madini yetu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amosi Asanali, Oct 17, 2012.

 1. Amosi Asanali

  Amosi Asanali Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawa investors wanaochimba madini hasa kwa hii njia ya uchimbaji ya underground kuna mtu yeyote ambae anawamonitor wchimbe hadi wapi, maana wanaweza kwenda mbali zaidi hapo inakuwje naomba msaada nijue?wakiwa undergound hadi maeneo ambayo mikataba yao hairuhusu.
   
Loading...