Asalaam wana Jf..!
Tanzania tumekuwa kuwa na maadui wakubwa siku zote watatu..,maradhi,umaskini na ujinga..!
sasa limezuka tatizo jingine la udini..,ambalo limeanzishwa na kikundi cha watu wenye...
Mawe yametoboa vioo vingi
Katika madhabahu,pameharibiwa
Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa
Mimbari imechomwa na kuharibiwa
Ofisi ya Kanisa imechomwa moto
Wachungaji wa kanisa...
Watoto wa haraiki waliokuwepo kwenye maadhizisho ya kuzima mwenge mkoani shinyanga. Wameandamana mpaka ofisi ya mkuu wa mkoa shinyanga kudai pesa yao ambayo hawajalipwa. Wanaimba kuwa wanataka...
wanajanvi, nchi iko rehani kiuisalama. matukio ya hivi karuibuni yasikitisha, nilitegemea dr angetoa tamko lakini kimya au kwakuwa hana uhakika na msimamo wa ndani wa boss wake katika hili?
Nimenunua umeme wa luku kwa NMB mobile, wamekata 20,000/- hawajaleta SMS ya units mpaka sasa, ila ilikuja tu page ya kuonyesha hizo units na ikaondoka ktk screen. Nikatuma 5000/- kwa Mpesa...
jamani wana jf.....kusema kweli haya mambo tusipoyaangilia nchi inaweza kuingia kwenye vita kubwa ya udini
1.mihadhara ya dini......haya mambo ya mihadhara ya dini....ipigwe marufuku maana chanzo...
Her capacity to mix technical expertise and a relentless vision inspired, motivated and moved women to embrace technology instead of avoiding or ignoring it.
Dr. Anita...
"kuanzia leo watu wote lazima wafuate sheria hukuakisisitiza kuhusu jambo hilo amesema 'mambo ya kutofuata sheria, mambo ya kudhani kuna wengine wako juu ya sheria yamepitwa na wakati kuanzia leo"...
Wanajamvi hebu tutoe maoni, ushauri kwa Viongozi wetu kwa matukio hayo mawili ya kutekwa na kukamatwa kwa viongozi wa Imani. Je kunatatua tatizo au kunazalisha matatizo mengine. Imetokea kwa...
naona sasa dar imekuwa sehemu ya migomo kila kukicha leo tulizuiwa njia kisa wafuasi wa shekhee mponda kesho sijui tutasimamishwa wapi kwenye foleni au kunajengo litachomwa maana sasa hivi dar...
Wednesday, October 17, 2012
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini...
*Adai kuangusha magari 15, auwa watu 15 mpaka sasa.
*Aonesha ngozi ya mtoto wa miaka miwili.
Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Belikumana Lugome(48), Mkazi wa Kijiji cha Parangu Songea...
Katika hali isiyotarajiwa wanafunzi wa shule ya msingi mjini Shinyanga na vitongoji vyake wameandama huku wakiimba nyimbo za kuhamasishana kudai ahadi ya malipo yao baada ya halaiki...
watoto ambao walipamba gwaride la mwenge(halaiki)shinyanga wameandamana kwenda kwenye ofic ya mkuu wa mkoa,kudai posho zao walizoa hidiwa kuwa cku ya mwisho wangepata,cha ajabu hadi leo wanaona...
Good evening wakuu;
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia bonus ya salio katika simu kwa mtandao wa Vodacom. Ni kwamba ukiongeza salio kwa njia ya M-Pesa unapata bonus ya asilimia 25. Kwa hiyo...
Swami Madhusudan ji ni one of the best preachers in "HINDUISM" napenda kuwasikiliza sana .. leo nimeona amendika makala flani sijajua niweke jukwaa gani ila nataka ku share nanyi ... ukiisoma kwa...
Kuna mvua kubwa imenyesha hapa Mtwara Manispaa na vitongoji vyake na kunaonesha dalili ya kuendelea kunyesha tena. Naomba kujuzwa na wana jamii forums endapo hii ni moja ya mvua zilizotabiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.