Msimamo wa Wanahabari na Jeshi la Polisi umekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msimamo wa Wanahabari na Jeshi la Polisi umekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Oct 17, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nisaidieni wanajamvi,

  Hivi Wanahabari si walisema wangegomea kuandika habari zinazolihusu Jeshi la Polisi, labda zile mbaya tu ndizo wangeziandika!

  Msimamo huu bado unafuatwa au walishaachana nao?
  Na kama wanaufuata, suala la msiba wa kamanda wa Mwanza linaangukia wapi?
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni kichwa cha panzi.
  We huoni tushasahau ishu za ARV fake? wiki iliyopita ilikua hot news.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  AU hofu inakuja kuwa wasipoandika current affairs magazeti yao hayatauza!
  Umasikini mbaya jamani!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ndg yangu Pj! Nakwambia ya kwmb Nchi yetu imekosa msimamo hata kwa sisi kwa sisi,Mi tangu juzi baada ya tukio la hapo Mwanza nilitegemea Wahariri wote wangekumbusha kuhusu kauli yao!
  Nilijiuliza ya kwmb hivi ni kwmb wameshamalizana na police kuhusu kugomea kuandika taarifa yao yoyote ile?
  Nikaja gundua ya kwmb hakika njaa ni mbaya sana kama ulivyokwisha tangulia kusema!

  Yani hawa waandishi wa hbr nisingetegemea wangekuwa vichwa panzi namna hii.

  Tena issue iliwalenga kabisa lakini wakatetemekea tu!

  Wahovyo sana hawa!
   
 5. n

  nyantella JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jamani magazeti sii yao! sasa wakiacha kuandika hot news magaazeti yauzwe watakula wapi? wa kusema nani aandike nini ni wenye magazeti sii waandishi wala wahariri. Channel pia wali cover tukio kama kawa!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo ndio basi tena Mwangosi ni shauri yake!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Bora hata CHAnnel 10 utasema ya Wahindi!
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,318
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  Hiyo sahau mkuu, sisi Watanzania ni watu wasahaulifu sana na ni rahisi kurubuniwa kutokana na hulka hiyo.
  Maisha yetu huendeshwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mwenendo wa mambo.
  Mathalani, asilimia kubwa ya Watanzania huachagua chama cha CCM na wala si mgombea wa CCM.(Wewe unayebisha funga domo lako, kwanza tafakari viongozi waliopo madarakani wenye kashfa zilizojificha na zile za wazi ndipo ufungue bakuli lako na upayuke).
  Suala la kutoandika habari za Jeshi la Polisi sio kuwa halitekelezeki, bali halina tija yoyote.
  Binafsi nilidhani jambo la maana wangeungana na kuanzisha kampeni ya kufichua kila uozo na maovu ya hao Polisi na kuyaanika kwenye kadamnasi ya Watanzania.

  "Wewe mtanzania badilika na angalau japo kidogo tu uanze kutumia akili uliyopewa bure kabisa na Mungu kufikiria na kupambanua mambo".
   
 9. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi ni habari mbaya ambazo Jeshi la polisi lisingependa zitoke hadharani kwamba Kamanda wa polisi mkoa kapigwa na kitu kinachosadikiwa kiriluka kutoka kwenye kitu kilichoelekezwa kwake usiku wa manane akiwa na mwanamke asiye mke wake, ndiyomaana waandishi waneirusha sana
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Time will tell!
  Huenda ukawa sahihi kwa hili!
   
 11. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanahabari ni kama walimu tu, hawaliwezi kunji. Walikuwa wanatishia nyau tu!
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ulikuwa upepo ati umepita!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Mlimani tv hawaonyeshi kabisa issue za polisi hata Barlow sijaona habari zake bora wao wana msimamo lkn ITV ndio habari kuu
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Angalau wameokoa jahazi!
   
 15. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Waandishi wa habari wote leo, wapo Marangu lombeta kumzika RPC ACpP Liberatus Barlow na mgomo wa Waislamu huko Central kwa Ponda Issa Ponda yale ya Mwangosi yalishaisha sasa ni ndoa moja
   
Loading...