Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe, mihadhara imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa salama na jeshi la polisi limejipanga vema katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kufanya vurugu ,kuchoma makanisi ndio njia sahihi ya kuangamizi ukristoni jambo la kushangaza baadhi ya waislam wameona na wanesema wazi kabisa tataendelea choma hadi ukristo upotee kabisa... hapo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Najaribu kutafakari kwa kina juu ya mwenendo wa nchi yetu hadi sasa ulipofikia, naikumbuka ile kauli ya mbunge wetu mh John Mnyika aliyoitoa bungeni ikasababisha atolewe nje ya ukumbi wa bunge...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Jumuiya ya Wazanzibari waishio UK ZAWA UK inasikitishwa na matukio ambayo yanaendelea kutokea huko nyumbani Zanzibar yaliyoanza kujitokeza jana tarehe 17/10/2012 ambayo yamesababisha vurugu kubwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kova amesema hayo wakat akiongea na BBC chanzo: BBC Dira ya Dunia
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF Katika pita pita zangu katika mitaa mbalimbali nimeshuhudia POLISI wakiwa mita chache tu karibu na misikiti ili kuzuia uvunjifu wa amani wowote unaoweza kutokea baada ya swala ya ijumaa..
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Kila ninapofikiria juu ya Harakati za Mombasa Republican Council kuhusu kujitenga kwao na KENYA ili warudi ZANZIBAR kwa wakati huu, pia nikiangalia harakati za UAMSHO naona kama kuna kitu kibaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kunawakati Kanisa linatakiwa lijitambue ni sasa, kwa nyakati tofauti kanisa limekuwa likisinzia kwa kile kilichukuwa kinaelezwa kuwa nchi hii ni kisiwa cha amani. Kanisa la Tanzania limekuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
napendekeza hawa watuhumiwa wa hizi fujo bara na visiwani wawekwe kwenye visiwa vilivyo mbali na shughuli za kiuchumi
0 Reactions
0 Replies
890 Views
naandika hapa nikiwa na hakika kuna mtu yoyote wa tra ambaye anaweza nisaidia, nina lori nataka kulitowa bandarini, kwanza nimelog na vielelezo vyote, ni wapi nimenunua na risiti za malipo ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman nipo maeneo ya Ukonga mombasa. Naona gari zimejaa polisi FFU defender 5, Gari za maji ya kuwasha 2. Vijana wameshajiandaa na wana bendera nyekundu na king'ora kinapgwa. Kunanini tena...
1 Reactions
161 Replies
15K Views
hali ya vurugu zinazotokea bara pamoja na visiwani ni , kuonyesha jinsi gani Zanzibar au visiwani itakuwa mungano ukivunjika, kwamba vikundi vya kibabe, au kiukoo, au kisehemu watakavyo tawala...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Pamoja kwamba kukashifu dini au kiongozi wa dini ni jambo baya, vurugu za waislam za hivi karibuni kuua na kuchoma nyumba za mabalozi wa nchi kadhaa hazikustahili na zilivuga mpaka. Kashfa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na wananchi wa kijiji cha Chwaka na kuwapongeza kwa kufungua ukurasa mpya wa maelewano na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wasiofahamika usiku wa kuamkia leo wamevamia kanisa la kilutheri Yombo jijini Dar es salaam kwa lengo la kufanya uharibifu kanisani hapo majira ya saa 9 kasoro za usiku lakini walinzi wa...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Ninavyoandika Mabomu yanasikika kutoka msikiti wa Mtambani Kinondoni. Barabara ya Kawawa kupitia kinondoni Imefungwa kwa Muda Vijana wa Kamanda Kova wanarusha mabomu huku wengine wako juu...
2 Reactions
111 Replies
18K Views
Channel ten wanarusha LIVE yanayotokea kariakoo!
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Chanzo cha vurugu zilizotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika eneo la Mbagala kizuiani Wilaya ya Temeke jijini Dar-es-Salaam imeelezwa kusababishwa na mama mzazi wa Emmanuel Josephat (14)...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna tetesi kwaba polisi nao wazidiwa huko Zanzibar. mabomu ya machozi yarindima.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Askari usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi na mwenzake kimakosa wakati akiwa katika harakati za kulilinda baa la mbawara lilioko aman mjini hapa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom