Uamsho na harakati za mombasa republican council.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho na harakati za mombasa republican council....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilumbi, Oct 19, 2012.

 1. k

  kilumbi Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila ninapofikiria juu ya Harakati za Mombasa Republican Council kuhusu kujitenga kwao na KENYA ili warudi ZANZIBAR kwa wakati huu, pia nikiangalia harakati za UAMSHO naona kama kuna kitu kibaya kiko mbeleni.

  Madai ya MRC na yale ya UAMSHO ni kama yanafanana. Wasiwasi ni kwamba, kama tukiwaangalia UAMSHO kama kikundi cha Wahuni fulani tu Zanzibar huku tukipuuzia kile kinachendelea KENYA, basi iko siku tutajuta.

  Soma article hii halafu utaelewa nini ninachokizungumzia.
  View attachment Mombasa Republican Council.doc
   
 2. k

  kainam New Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini muda wote imekuwa haitaji tafakakari ya kina kutambua kuwa UAMSHO NA MOMBASA REUBLLCAN COUNCIL ni washiriki wa karibu; laiti uswahiba wao ungekuwa na nia njema kwa WANAFRIKA YA MASHARIKI wa leo
   
Loading...