Polisi Zanzibar nao wazidiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Zanzibar nao wazidiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Oct 19, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kwaba polisi nao wazidiwa huko Zanzibar.
  mabomu ya machozi yarindima.
   
 2. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wamezidiwa kiivipi? Fafanua. Kama mabomu ya machozi yanarindima ndio kuzidiwa!
   
 3. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hizi habari nusu nusu zinatuchosha tu,muda wa kuanza kutafakari uko wapi?
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Polisi wanawadekeza sana hawa watu wa kibandiko.
  Mbona kwa CHADEMA wanadikili hata kuua waandishi wa habari?
  Mtoto umleavyo ndio akuavyo.
   
 5. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  askari mwengine kitengo cha usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi kimakosa katika mbarawa kwenye baa lilioko aman mjini zanzibar. Mwanausalama mwengine amejeruhiwa sehemu ya mguu. Aliyeuwawa ameshazikwa huko mwera nje kidogo ya mji wa zanzibar. Mabomu ya machozi yanaendelea kupigwa mfulululizo katka baa hilo.
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Polisi hawa huwa wajanja pale tu CHADEMA wanapo andamana.
   
 7. Niambieni

  Niambieni JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  FAHAMU YA KUWA “… mshahara wa dhambi ni mauti. Bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu” (Warumi 6: 23).


  OKOKA “Kwasababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako yakuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako yakuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka” (Warumi 10:9).


  HAKUNA NJIA INGINE YA WOKOVU BALI NI KUPITIA YESU TU!
   
 8. Hewa mkaa

  Hewa mkaa JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 713
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Huyo shekh wamemficha wenyewe. Haiwazekani kwa umaarufu wake apotee bila kuonwa na mtu na pia kwa jinsi alivokuwa na wafuasi wengi haiingii akilini mtu huyu kukaa katika hali ya upweke tena barabarani. \haw wan lao jambo.
   
 9. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,293
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  polisi wala hawajazidiwa na kuna polisi wametoka uko bara wameshushwa leo hapa kukabiliana na hawa washenzi wa mashenzini Shein anawalea hawa jamaa zake wapemba anashindwa kufanya kama ya Salmin na kuipa serikali Heshima SMz inadhalaulika na Uhamsho sababu hakuna utendaji
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  risasi zao za moto zimegeuka nyoka au mjusi?
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hizo zote ni salaamu, siku CHADEMA tukiamua watakodi na wa nje ya nchi...
   
 12. M

  Msindima JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu zinachosha, huelewi ipi ya kweli ipi ya uongo, ili mradi vurugu tupu hapa jamvini kwa hizi habari.
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Wamezidiwaje? au waislam polisi ni wengi?
   
 14. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa sababu CHADEMA hakuna waislam?
   
 15. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbe CHADEMA na WANAOVAA VIBANDIKO ni vitu tofauti!? Kwa kupitia comments kama hizi hua ndio tunailewa rangi halisi ya CHADEMA!
   
 16. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mkuu hawa si waislamu...ni waandamanaji wasio uhalali....
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,880
  Trophy Points: 280
  mtu akishaanza kuchoma kanisa na kuiba mali za kanisa hakuna cha busara tena ni kupasua vichwa tu! kanisa ni mahali patakatifu sana na pamewekwa wakfu mungu anakaa humo sasa wewe unataka kumchoma mungu??
   
 18. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  We uko sahihi kabisa
   
 19. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  watajijuu acha wafe tu
   
 20. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kandamizeni mabomu ya tumbo mapolic kama mlivyomfanyia mwangosi
   
Loading...