Ni bora wajiandae maana hapo maeneo ya Vingunguti nimepita wale jamaa wanaovaa pedo
na vilemba vichwani wamekusanyika kibao sijui wanajiandaa kuelekea wapi.
Jaman nipo maeneo ya Ukonga mombasa. Naona gari zimejaa polisi FFU defender 5, Gari za maji ya kuwasha 2.
Vijana wameshajiandaa na wana bendera nyekundu na king'ora kinapgwa.
Kunanini tena huko mjini?
siku ya majini
umesahau leo ni ijumaa!? siku ya wenzetu ya ibada???
Ni bora wajiandae maana hapo maeneo ya Vingunguti nimepita wale jamaa wanaovaa pedo
na vilemba vichwani wamekusanyika kibao sijui wanajiandaa kuelekea wapi.
Jini makata kazini