Mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe,

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe, mihadhara imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa salama na jeshi la polisi limejipanga vema katika kukabiliana na vurugu zitakazojitokeza.
 
Serikali DHAIFU inasubiri mpaka majanga yatokee ndiyo wajue cha kufanya. Mzarau mwiba, mguu huota tende
 
Mmmewalea mno na miadhara ya uchochezi haya huo moto kuuzima kazi kwelikweli!
 
Wao ndiyo waliosababisha adi hali ikawa hivi!
Tuli wa precaution tangu mwanzo wakatuzarau sasa waache wa face 'the himalayans' tusiwahurumie!
 
Je Mtoto aliyekojolea alipata wapi hicho kitabu? au alipewa na nani na aliyempa na kumwambia akojolee anajulikana ni nani na je anamakosa au la

mbona akuna anayeongea kuhusu waliomweleza akojolee
 
mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe, mihadhara imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa salama na jeshi la polisi limejipanga vema katika kukabiliana na vurugu zitakazojitokeza.

Nafikiri watawala wetu (Rais, Baraza la Mawaziri, Wakuu wa mikoa nk) wangejipanga vizuri wapate orodha ya source zote za uchochezi wa kidini: Mihadhara, Radio, Magazeti na Hotuba. Hapo ndipo chanzo cha chokochoko na kudharauliana.
 
tamko lake nini kuhusu kukojolewa kitabu kitukufu "qur'an".

Ina maana uwezo wa kufikiri ndipo ulipoishia!? Yaani hujui kwamba huyo 'mtoto' aliyekojolea hiyo qur'an yupo mahabusu. Sasa ulitaka atoe tamko gani?
Kwa taarifa yako, wakristo hatuungi mkono kukojolewa kwa qur'an bali tunashangaa huu upumbavu na ujinga wa baadhi ya waislamu kwenda kuharibu mali za makanisa yetu.
Kwa mkristo anayefuata maandiko hawezi akafanya hayo yaliyofanywa na mtoto (yaani wameshindwa kuelewa ni mabishano ya kitoto! How foolosh r they!)
Angalia bible yetu ilivyoandika, "Don't have anything to do with foolish and stupid arguments, because you know they produce quarrel", 2 Timothy 2:23, NIV.

nina swali kwa waislam wenye siasa kali;
ina maana kuanzia sasa wakristo wakimkuta mwislamu katika shida wasimsaidie? siulizi kinyume chake kwa sababu jibu ninalo. miaka yote tumeishi tukishirikiana katika mambo mbalimbali ya furaha na huzuni. kwa sasa hivi nafikiri hili litafanya mtu ajiulize mara 2. kwenye harusi msipeleke kadi za michango kwa wakristo, kwenye misiba muwafukuze wakristo na michango yao msiipokee asilan. nina maana yangu kusema haya, kwa kuwa ninashuhudia maisha tunayoishi kila siku. wakiviweza hivyo nitawasifu.
wale wasio siasa kali tuendelee kushirikiana, lakini isiwe kwa unafiki
 
mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe, mihadhara imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa salama na jeshi la polisi limejipanga vema katika kukabiliana na vurugu zitakazojitokeza.

GHARAMA YA KINGA NA TAHADHARI NI NAFUU KULIKO GHARAMA YA KUTIBU TATIZO!!!!!!

DAR viongozi wanaogopa kufanya maamuzi mpaka MAMLAKA YA JUU IWAPE SHINIKIZO.
 
mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe, mihadhara imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa salama na jeshi la polisi limejipanga vema katika kukabiliana na vurugu zitakazojitokeza.

leo ndo wanajua ubaya wa mihadhara? Wakati wakristu wanatukanwa walikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom