KOVA: Uvumilivu sasa basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KOVA: Uvumilivu sasa basi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUNIJUI, Oct 19, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,446
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kova amesema hayo wakat akiongea na BBC
  chanzo: BBC Dira ya Dunia
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,489
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Watendaji wa nchi hii hawataacha kunishangaza, yaani katika kutekeleza sheria kweli wanahitaji kuwa na "uvumilivu"? Ina maana muda wote huu Polisi wamekuwa "wavumilivu" katika kutekeleza wajibu wao?. Hii ndo sababu Tanzania has always been the land of impunity!!!
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,257
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  nyie ma mburula mmechokwa hadi na Waislam wenzenu Tatizo hambebeki.Kazi kulalamika kama wajawazito leba.
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo walikuwa wanavumilia uvunjifu wa sheria?
   
 5. B

  Buluki Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toa taarifa vizur wewe
   
Loading...