Jeshi La Polisi Lajiandaa Vya Kutosha Kudhibiti uvunjifu wa amani baada ya swala ya i | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi La Polisi Lajiandaa Vya Kutosha Kudhibiti uvunjifu wa amani baada ya swala ya i

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dan4d Hamissi, Oct 19, 2012.

 1. D

  Dan4d Hamissi Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF Katika pita pita zangu katika mitaa mbalimbali nimeshuhudia POLISI wakiwa mita chache tu karibu na misikiti ili kuzuia uvunjifu wa amani wowote unaoweza kutokea baada ya swala ya ijumaa..
   
 2. s

  sverige JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mbona hapa kwetu hakuna Polisi
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Acha kukimbia kimbia katika kupost habari, sema hao polisi umewaona wapi maana misikiti mikubwa ipo mingi sana D'Salaam na siyo rahisi polisi kuzingira misikiti hiyo mikubwa kutokana na uchache wao.
   
 4. M

  Magesi JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaaz kwel kwel
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wawamwagie maji washa! wakianza kuwashwa wawakune mburula hao.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Halafu anaishia kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi!!!!! Hawajui polisi huyo jamaa.
   
 7. maghambo619

  maghambo619 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  kwa hili, watanzania inabidi tushikamane
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ushikamane kwa lipi sasa???? Kuzuia watu wasiandamane au kulimbea taifa???? Fafanua????
   
 9. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  miji mingine je wamejiandaa?amani yetu ni ya maana sana,mbona hatuoni polisi wala nini
   
 10. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio kazi ya jamhuri ikibidi JWTZ litaongezwa .

  Nenda Rwanda na Sudan wanajeshi ndio wanalinda nchi ingawa kuna polisi na silaha nzito.

  Nafikiri tunaelekeo kulindwa na kukosa uhuru wetu tuliozoea.
   
 11. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwani kwenu ni uswahilini? Watakuwa wamejipanga sana maeneo ya uswahilini...Hizi ndiyo sehemu korofikorofi...!
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi niko Lumbumba to be precise nimeona hao jamaa wanapita kwenye magari yao wanaelekea kunako misikiti na jamaa yangu mmoj kanitonya kwamba jamaa walipanga kuanzia Temeke sijui pale Uwanja wa Taifa sasa niko ndani but I hear the siren nje
   
 13. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Ua kabisa magaidi hayo.
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  sasa polisi wanapongezwa kwasababu gani?
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaa......mimi sijawaona hapa kawe....kawe si uswazi pia au?
   
 16. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unasema polisi? Jana JWTZ waliweka magari yao katika vituo vingi vya Polisi. Mfano halisi ni Mbezi kwa Yusuf! Chezea wanaume! Tena nasikia wao wenyewe wameamua kuingia kazini baada ya bwana mkubwa kujonekana dhaifu kumaliza kadhia hii!
   
 17. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapi hapo hakuna polisi?
   
 18. J

  John W. Mlacha Verified User

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Andamananeni basi
   
 19. J

  John W. Mlacha Verified User

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Takbiiiiri
   
 20. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Leo hatoki panya wala mende!
   
Loading...