Kama hivi ndivyo:lipi kosa la mh john mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hivi ndivyo:lipi kosa la mh john mnyika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jolebatawi, Oct 19, 2012.

 1. Jolebatawi

  Jolebatawi JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Najaribu kutafakari kwa kina juu ya mwenendo wa nchi yetu hadi sasa ulipofikia, naikumbuka ile kauli ya mbunge wetu mh John Mnyika aliyoitoa bungeni ikasababisha atolewe nje ya ukumbi wa bunge tena kwa dharau kubwa ya gamba Job Ndugai. Je ni nani hadi sasa anabisha kuwa kuchafuka kwa nchi yetu hivi sasa ni kutokana na udhaifu mkubwa alionao bwana mkubwa? uliosababisha adharauliwe na kila mtu pamoja na kuishusha hadhi nafasi ya urais kiasi cha kila mtu kulala na kuamka anatangaza kuutaka urais na tusishangae hata watoto wa shule ya msingi wakaanza kutoa matamko ya kuutaka urais coz ulishashuka hadhi.
   
Loading...