Kufanya vurugu ,kuchoma makanisi ndio njia sahihi ya kuangamizi ukristo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanya vurugu ,kuchoma makanisi ndio njia sahihi ya kuangamizi ukristo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBE, Oct 19, 2012.

 1. K

  KIBE JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kufanya vurugu ,kuchoma makanisi ndio njia sahihi ya kuangamizi ukristoni jambo la kushangaza baadhi ya waislam wameona na wanesema wazi kabisa tataendelea choma hadi ukristo upotee kabisa... hapo maeneo yetu walikusanyika pia last week wanataka choma kanisa la katoliki lakini walitokea waumini wanaoijua vyema dini ya kiislam wakawapa elimu ya dini wakaacha mpango wao ...leo wanataka sheria pia za nchi ziwe upande wao hata kama wamekosea kuvamia eneo sio mali yako hata kamaa limeuzwa na bakwata ..kwa nini usifuate sheria za nchi za kudai haki.. wangapi wakristu wanashiliwa na polisi lakini wakrisu hawaandamani .. tuliona kule mwenge polisi waliingia hadi ndani ya kanisa na kupiga mabomu ya machozi lakini wakristu wala hawakuandamani waliacha sheria ifuate mkondo wake … sasa inakuwaje kwa waislam hadi wanaleta fujo na kuua.watanzania wote kwa umoja wetu tuzidishe maombi kwa mungu hik kikombe hiki kipote kabisa tz mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania wote wawe na upendo kwa kila mmoja wao bila kujali dini sisi wote ni watz ikitokea vita hakuna wa kupona uwe mkristo au muislam
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Unyimwe kila kitu, lakini sio elimu.
  Kama unabisha jaribu na utakuwa kituko kama hao ndugu zako,..
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mbaya zaisi, UKISTO ni institution, imejengwa kwenye mentality ya wakristo.
  Bila hata makanisa, ukiristo utaendelea, waumini watasali kwenye jumuia ndogo ndogo mitaani.
  Hayo ni mawazo ya mtu asiyekuwa na akili kabisa..
   
 4. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Chezea katoriki wewe
   
 5. T

  Tabby JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,880
  Likes Received: 5,476
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni Ant-Christ. Kanisa fahamu hilo. Anayepinga hili anieleweshe ni kwa nini wana pigana kinyume na Ukristo tu na si imani nyingine yoyote duniani?
  Kwa taarifa tu, Ukristo hauko kwenye Makanisa hivyo kuchoma Makanisa kamwe hakuwezi kuwa na athari hasi katika Ukristo.Asiyejua na afahamu.
   
 6. Niambieni

  Niambieni JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  [font=&quot]watanzania wenzangu, pendaneni, hacheni chuki, hasira, matusi, vita, uchochezi. Vyote hivyo havisaidii. Shetani anapenda sana mambo hayo mabaya yanayo mchukiza mungu. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]huu ni muda wako wa kuonekana kama wewe ni mtoto wa mungu au shetani. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]maneno yako, uchochezi wako, vurugu zako zina au zitasababisha vifo kwa pia watoto, wazee wanawake na wengine, uvunjivu wa amani, uharibifu.[/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]baadae mungu atakuangaliaje? Au unategemea utatubu na atakusamehe?. Je aliyekufa kwa maneno na vurugu zako atakuwa ana muda wa kukusamehe wakati ameshakufa?. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]kaa tafakari, je kweli unampenda mungu wako ambaye asili yake ni upendo?. [/font]
  [font=&quot] [/font]
  [font=&quot]au unampenda tena kwa vitendo shetani kwa kuua, chuki, hasira kwa mtu ambaye aliumbwa na mungu kwa mfano wake yeye mungu?[/font]
   
 7. kbm

  kbm JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4,964
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wana wa Mungu tuimarishe Jumuiya zetu ndogo ndogo ndiyo msingi wa Ukristo.
   
 8. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wakichoma makanisa yetu, tutambua kuwa uislamu ni fujo na sio wastaarabu, hivyo tutapata somo kuwa si vizuri kucheka na na watu wasio na ustaarabu, na tutajenga mazuri na makubwa zaidi ya hayo. KAMA MUNGU YU UPANDE WETU NI NANI ANAYEWEZA KUTUPINGA
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  nimechoka kucomment kuhusu hawa watu..nimeshawajua hivyo hawanisumbui tena..kwa ufupi wamewatia aibu waislam wenzao wanaoijua dini
   
 10. mdk2012

  mdk2012 Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  tatizo la hawa ndugu zetu ni elimu, ni heri ukose utajiri kuliko kukosa elimu, wanahubiri uislamu ni kudumisha amni na upendo, huo upendo na amani viko wapi sasa?
   
 11. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  kashindwa mtume wao majini, hadi akawaambia kila mtu na dini yake!
   
Loading...