askari usalama auwawa zanzibar

askari usalama auwawa zanzibar

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Askari usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi na mwenzake kimakosa wakati akiwa katika harakati za kulilinda baa la mbawara lilioko aman mjini hapa. Katika tukio hilo askari mwengine alijeruhiwa kwa kupigwa risasi kwenye mguu. Eneo la mbawara ni moja kati ya maeneo yaliyokubwa na upinzani mkali kutoka kundi la uamsho. Jina la mwanausalama huo bado sijalipata lakini nitajaribu kulitafuta na kuliweka. Amezikwa leo mchana mwera nje kidogo ya mji wa zanzibar. Na sasa hivi eneo hili la mbawala milio ya mabomu ya machozi yanaendelea kupigwa mfulululizo tokea asubuhi kutokana na vijana kutaka kulivamia baa hilo. Chanzo ni mimi mwenyewe naishi aman karibu ya eneo hilo.
 
Malipo ni hapa hapa, wanavyo uwawa adi raha!
Kila siku mmoja au wawili adi waishe!
 
Jamani jamani?
Polisi nao kwa kuchukua watu wa ziro form four
hajafundishwa au hakuelewa jinsi ya kulenga shabaha?
Useless man!
 
Askari usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi na mwenzake kimakosa wakati akiwa katika harakati za kulilinda baa la mbawara lilioko aman mjini hapa. Katika tukio hilo askari mwengine alijeruhiwa kwa kupigwa risasi kwenye mguu. Eneo la mbawara ni moja kati ya maeneo yaliyokubwa na upinzani mkali kutoka kundi la uamsho. Jina la mwanausalama huo bado sijalipata lakini nitajaribu kulitafuta na kuliweka. Amezikwa leo mchana mwera nje kidogo ya mji wa zanzibar. Na sasa hivi eneo hili la mbawala milio ya mabomu ya machozi yanaendelea kupigwa mfulululizo tokea asubuhi kutokana na vijana kutaka kulivamia baa hilo. Chanzo ni mimi mwenyewe naishi aman karibu ya eneo hilo.

Sasa maaskari mkianza kuuana wenyewe kwa wenyewe,ni dalili ya kuchanganyikiwa!
 
Ni wangapi huyu?
maana tulisikia cp said na askali mama mmoja

Mbona hatari sasa hawa maaskali zam yao sasa eh?
 
FAHAMU YA KUWA “… mshahara wa dhambi ni mauti. Bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu” (Warumi 6: 23).
OKOKA “Kwasababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako yakuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako yakuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka” (Warumi 10:9).
HAKUNA NJIA INGINE YA WOKOVU BALI NI KUPITIA YESU TU!
 
R.I.P Askari! ndani wiki moja tumepoteza askari wanne including RPC Barlow!
 
Huenda aliyemuua mwenzie ni Mwana-Uamsho. Maana hawa jamaa ni wajinga! Akili zao hazina tofauti na "Immigration", the wowoh! (RIP).
 
u cant be serious papason! we huna dogo huko majeshin au hata mjombako, dah sio mzuri kwa jamaa kumalizia hasira zao kwa askari. ninaye ngugu yangu zanzibar ananiambia mabomu yanapigwa kwa wingi jamani tuwaombee wenzetu Mungu awaepushie ingawa pia nasikia mitaa ya magomeni pia ishu ilikuwa balaa. mliopo maeneo hayo tupeni zaidi wakuu
 
huyo askari aliyempiga mwenzie nae achunguze inawezekana nae ni uamsho aliye jeshini.
 
Back
Top Bottom