vurugu hizi ni wake up call kwa wanaotaka waachwe wapumue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vurugu hizi ni wake up call kwa wanaotaka waachwe wapumue

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by August, Oct 19, 2012.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hali ya vurugu zinazotokea bara pamoja na visiwani ni , kuonyesha jinsi gani Zanzibar au visiwani itakuwa mungano ukivunjika, kwamba vikundi vya kibabe, au kiukoo, au kisehemu watakavyo tawala Zanzibar kama livyokuwa Somalia, tunawatakia kupumua kwa heri au wanaotaka kupumua
   
Loading...