Maandamani a Waislamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamani a Waislamu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kishio, Sep 24, 2012.

 1. k

  kishio New Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja kwamba kukashifu dini au kiongozi wa dini ni jambo baya, vurugu za waislam za hivi karibuni kuua na kuchoma nyumba za mabalozi wa nchi kadhaa hazikustahili na zilivuga mpaka. Kashfa inayoyohusika ilifanyua na mtu binafsi na haikuwa busara kushutumu serikali za nchi husika. Ingekuwa jambo la busara kwa viongozi wa dini ya kiislamu kushirikiana na serikali husika kuona hatua za kuchua badala ya kufanya mauwaji ya watu wasio na hatia.
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ghadhabu ilitawala nafsi yao kuliko busara na kutokana na kukosa busara wamejikuta wakiua watu wasiokuwa na hatia na kuingia katika dhambi.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  kuna mwislamu (ustadhi)alimlawiti mtoto mdogo huko dodoma , sasa wanhgejiskiajekama tungeujumuisha uislam wote kwa ujumla kwenye hilo tukio? kama wao wanavyofana sasa hivi
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ist kein Frieden Religion als u thinnk sie Art von dummen Menschen sind ungebildet ignorant reagieren sie fo lilte Dinge ohne zu wissen, die Auswirkungen für den Rest meines Lebens und ich kann nicht einmal wagen, zu einem dann in jeder Situation zu helfen.
   
 5. Silvano

  Silvano Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu zangu hebu tujadili nini hatima ya vurugu zinazoendelea kati ya wanauamsho wa kiislamu dhidi ya serikali hatima yake ni nini??? Ukiangalia ndani ya wiki hii kumetokea vurugu Mbagala, ikaja ya Sheikh Ponda kukamatwa hadi kusababisha mabomu kupigwa central police jana, hapo hapo zanzibar tena kumeibuka vurugu. Nini mwisho wake katika nchi yetu?? check hizo link
  HAWA NDIO WAFUASI WA SHEIKH PONDA WALIOKAMATWA WAKIANDAMANA DAR LEO « Millard Ayo
  HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA VURUGU ZA KUNDI LA UAMSHO ENEO LA DARAJANI ZANZIBAR LEO.. « Millard Ayo
  WAISLAMU JIJINI DAR WACHARUKA KUFUATIA KUTIWA MBARONI KWA SHEIKH PONDA ISSA PONDA.
  SERIKALI YA ZANZIBAR YAWAHAKIKISHIA AMANI NA UTULIVU WANANCHI WAKE BAADA YA KUTOKEA VURUGU ENEO LA DARAJANI.
  :A S embarassed:
   
 6. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Naweza kusema pande zote mbili yaani waislamu na serikali wamekosa hekima na uvumilivu katika kuyaendea mambo ya kidini. Halafu hakuna kitu kibaya kama kukamata kiongozi yeyote tu hata wa kikundi cha ngoma! ukifanya ndio unaamsha ari zaidi.....
   
 7. G

  Gene Senior Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokomeza dalili za ugaidi
   
 8. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tumuombe Mungu atufunulie nn cha kufanya
   
 9. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii ni dalili mbaya na kama uongozi usipogangamara tutajuta kumjua huyu mchochezi, it seems to be a move maana mara Mombasa, Zanzibar na sasa bara, SHETANI ASHINDWE
   
 10. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huu si uisilamu Ila ni wimbi la
  watu ambao wanakerwa na aina ya mifumo fulani katika serikali zilizo madarakani na kutumia kigezo cha dini kufanya hayo wanayoyataka. Ukiwafuatilia hawa wamesoma hizo dini pakstani, afghanistan, iran nk. Hawa hata katika jamii nyingine za dini ya kiislamu wamefanya fujo nyingi sana. Hakuna serikali ambayo itawaridhisha kwa matakwa yao hata siku moja kwani wao wamefundishwa kulalamika tu. Hivyo ni kujipanga tu na kuwadhibiti. Kuna baadhi ya misikit wakiingia tu huwa wanatolewa mkuku kabla hawajaota mizizi. Ni watu wa hatari. Kwani hawapo kabisa kwenye dini ila wamevaa ngozi ya udini kutimiza matakwa ya waliowatuma. Mwisho wa siku mtu analipwa kwa shughuli ya kufanya fujo.
   
 11. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  Naona awa ni wauni wanaotumia dini kufanya maovu,aijaingia akilin kwa muislam safi kufanya fujo na kujisifia kuuwa.mwalimu nyerere alipinga sana udini na ukabila kwa nguvu zake zote na ndio maana adi leo tanzania tunaitwa kisiwa cha amani.serikali inatakiwa kuingilia kati.sijui ata rahis wetu akitoka oman anaenda nchi gani tena!! Inabid asitishe safari kuja kushugulikia uovu huu wa kidini.lakin jk ni ngumu sana kusitisha safari ila tunaomba asitishe
   
 12. m

  moshingi JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  There is something very serious anonymously progressing within the so called "Muslim World". Somebody is somehow
  funding the "islamic" movements globally but especially in poor African countries in which their level of intelligence/ surveillance strategies are not well funded, poor/low equipped, unskilled personnel, corrupt governments and dirty politics
  are games of the day. The Signs of these movements can easily be noticed from what is happening in Nigeria(Boko haram), Kenya(State of Mombasa), Zanzibar(Uamsho), Tanzania(Ponda Issa Ponda) and Somalia(Alshaabab). This is a movement because their approach(mode of operation) are the same and are simultaneously driven within different places but at the the same time. The governments must inflicts sanctions to every source of income of their ring leaders.

   
 13. M

  Mwema Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina waraka nimepata wa waislaam. Nitauscan na kuupost muone. Hawa jamaa wameamua kweli kweli. Ni mtandao mpana kitaifa. Serikali isipokuwa makini, tunaelekea kubaya.
   
 14. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Serikali yako inavuna ilichopanda! Ulimsikia Rais wako alipotembelea maeneo yaliyo fanyiwa fujo huko mbagala? nilidhani ni issue ndogo Mi ndo maana natangaza hadharani kwamba mi sina rais. We karne hii unaweza kuona wapi Rais wa nchi yoyote badala ya kukaa na wasaidizi wake jinsi ya kurekebisha uchumi anashinda anazungukia nchi za nje kutafuta wafadhiri?
  Japo niko kidogo nje ya mada lakini tatizo kubwa ni uongozi wa nchi. Watanzania tuliingia chaka kuangalia sura ya mjamaa mkampa madaraka ambayo halingani nayo.
   
 15. G

  Gene Senior Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Vurugu ya kuchoma makanisa

  2. Fujo na kuchoma maduka

  3. Kuua Polisi

  4. Kutaka kumuua mtoto kisa kitabu kimekojolewa
   
 16. G

  Gene Senior Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Vurugu ya kuchoma makanisa

  2. Fujo na kuchoma maduka

  3. Kuua Polisi

  4. Kutaka kumuua mtoto kisa kitabu kimekojolewa

  5. Kwenda msikitini kupanga maandamano ya vurugu badala ya kusali

  6. .....
   
 17. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ngumu sana! Dunia haina amani kwa sababu ya Uislamu!
   
 18. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Then unaingia peponi zawadi ni 72 virgin girls and 88,000 Servants, LOL!
   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Inabidi wafanye kazi kubwa sana kui polish dini yao...Kwa sasa haina kuvutio kiwe cha kiroho au kimwili kuifuata kwa hiari...
   
 20. d

  dilemma Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakuwa mwenye bahati mbaya na aliyeangukia pua.
   
Loading...