Nimetafakari sana, nikaona nilete mada hii hapa jukwaani. Kwa kuwa vurugu za kuchoma makanisa na kuharibu mali zilinzia Tunduru tena bila hata ya kisababishi, kisha ikatengenezwa sababu kule...
Mimi nimekaa nimefuarioia kwa umakini fujo zinazoendelea Zanzibar. Ikiwa mimi kama mzanzibari nimesikitishwa na vitendo wanavofanya wazanzibari wenzangu. Mambo mengine lazima tukae tufikiri vyema...
Siwaelewi hawa polisi wanapoingia ktkt ya barabara na kuanza kuongoza magari wakati taa nazo bado zinawaka. Kuna siku nilikuja speed nawahi taa za kijani lkn nilipokaribia kuvuka ndipo nikamuona...
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM
wamekisusia kikao cha baraza la wawakilishi
kutokana na fujo zilinazoelezwa chanzo chake ni
kupotea kwa kupotea au kutekwa nyara kwa
kiongozi mkuu wa...
Mods Tafadhali msihamishe huu ujumbe ingawa inaweza kuwa si mahala pake.
Hii msg nimeipata mahala nikaona niilete hapa jf kwa great thinkers kwani ina ujumbe mzuri:
'Tupinge Vurugu Za Kidini...
nimekuwa nikipokea text kupitia line yangu ya tigo, mtu akinitaka kufanya nao kazi eti nawezapata kipato cha ziada kwa kufanya nao kazi, kisha hutaja jina langu halisi na wanasema wapo sinza...
Naona inakuwa mazowea ya kutoa kila mtu kujiona alifikirialo ni sahihi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo kifupi chake ni CHADEMA, hii ipo kwenye katiba yao sasa pana WATAALAMU uchwala wanaotoa...
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo...
kama nilivyoandika kwenye kichwa cha habari, nimepokea sms kwenye simu yangu ikielezea kuwa kuna watu wasiofahamika wamefika katika kanisa la yombo kkkt na kumjeruh mlinzi wa kanisa hadi...
Habari wana jukwaa.Napenda kuwataaarifu na kuwakumbusha gazeti letu pendwa lililopotea kwamuda kuwa hivi sasa limeludi mtaani kwa nguvu kubwa ,tukiwa kama wapenda ukweli na mapinduzi halisi,basi...
Kwa habari nilizonazo, ni kwamba kuna kundi la watu wanasemekana ni waislamu wenye msimamo mkali wamepiga kambi maeneo ya Chuo kikuu huko Changanyikeni kwa ajili ya kufanya matukio kama yale ya...
Nimeshindwa kuconnect dots kitendo cha 'nabii na mtume' Mwingira na shamba lake kuchomwa moto kule Sumbawanga. Aliwahi kujitokeza na kujustify kitendo chake cha kununua shamba kutoka PSRC, lkn...
Jana tulionyeshwa Picha ya Mwanamke aliyekuwa na Marehemu aliyekuwa Mkuu wa polisi Mwanza Kamanda Barow Kumbe siyo ni usanii tupu huyo mama siye huyo mama ni Mmarekani soma habari zake hapa...
Katika harakati zangu za hapa na pale leo nimepita maeneo kadhaa yakiwemo ya vijiweni. na katika story za hapa na pale nkaambiwa kesho tutakuwa mnaz mmoja ili wenzetu watolewe.
ki2 kingne katika...
A New Afghan Evil: Drug Addiction
By Aryn Baker/Kabul
Read more: A New Afghan Evil: Drug Addiction - TIME
As source of 92% of the world's heroin, Afghanistan's opium farmers are easily...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.