Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

magnificent

Senior Member
Jun 25, 2011
110
16
kuna mtu amenipa taarifa kuwa kanisa la moja Anglican huko Unguja limechomwa mchana huu. Anayeweza kupata maelezo zaidi atujulishe.
 
hizi TAARIFA si zingekwa kule kwenye, habari na hoja mchanganyiko forum au ni siasa?..mcheck tena aliyekupa taarifa kwa maelezo zaidi (and from.what source), mkuu.
 
........... Itabiadi JWTZ liingilie kati kusaidiana na hawa akina Kamuhanda wa polisi
 
Hizi tetesi zimejaa sana umu jamani,ili suala ni nyeti sana msilete post bila kupata uhakika kamili..la sivyo mtaleta tension zisizoitajika.
 
jamani wekeni habari mkishakuwa na uhakika, namna hii ndo mnawapa mawazo watu kitu gani cha kufanya. tumwogope Mungu...
 
Hivi hao waliokwisha kufa wamewahi kurudi kuwaeleza faida wanayopata huko waendako? Maana naona waislamu wanazidi kushikilia misimamo yao ya ajabu ambayo naamini ni mafundisho ya kidunia zaidi. Hivi bado allah akiulizwa anaendelea kuwafundusha hivyohivyo waislamu?... Inawezekana waislamu wa sasa hawajazungumza na allah kwa muda mrefu na ndiyo maana naye amewaacha waendelee na uo u wao vinginevyo naamini wangemuuliza allah angewaambia waislamu waache kufikiria kwa kutumia ******, wasikilize na kusoma lakini wachanganye na za kwao.

Mkuu, umeisha wahi kusikia dini hii hua na hata maono ya Kimungu? Hapa ni full majini tu, hakuna cha roho mtakatifu wala nini, sasa hvi wanafundishana namna ya kudhibiti watoto wa Kikristo mashuleni, wamekubaliana kuwatupia majini watoto wote wa Kikristo wenye akili shuleni, subirini mtasikia vipindi vya mitihani huko mashuleni!
 
Nimeweza kuwasiliana na mtu aliyeko huko amekanusha taarifa hii, amesema kanisa hilo halijaguswa ila kuna wahuni wanavunja maduka na kuiba, ila mabomu yanaendelea kupigwa... hali si swali
 
nimekuwa nikijuliza mara nyingi sana kwa nini tabia na misimamo ya waislamu hufanana sana duniani kote. Mwanzoni nilikuwa nawalaumu sana waislamu wale wanaofanya matukio ya kiislamu wao binafsi ila baadaye nikagundua kuwa kumbe tatizo sio watu binafsi ila ni mafundisho ya dini ya kiislamu kupitia kitabu chao cha quran. Lakini pamoja na hayo nimejaribu kuangalia historia ya waislamu ambao waloikuwa na majina makubwa na misimamo mikali kuliko hata wa sasa na ambao hawakuamini kuwa wanaweza kufa mfano....osama bin laden, sadam hussein, muamary gadafi lakini mwisho wake wakafa kwa aibu sana. Kuna waislamu mamilioni kwa mamilioni wamejitolea muhanga ili tu kuua wenzano ili waende peponi kwa allah wao.
Hivi hao waliokwisha kufa wamewahi kurudi kuwaeleza faida wanayopata huko waendako? Maana naona waislamu wanazidi kushikilia misimamo yao ya ajabu ambayo naamini ni mafundisho ya kidunia zaidi. Hivi bado allah akiulizwa anaendelea kuwafundusha hivyohivyo waislamu?... Inawezekana waislamu wa sasa hawajazungumza na allah kwa muda mrefu na ndiyo maana naye amewaacha waendelee na uo u wao vinginevyo naamini wangemuuliza allah angewaambia waislamu waache kufikiria kwa kutumia ******, wasikilize na kusoma lakini wachanganye na za kwao.
hapo mkuu umenena lakini kuwabadisha inabidi ubadilishe kitabu kwanza
 
Nimepata taarifa rasmi kutoka kwa Canon Emmanuel Masoud ambaye ni Padri wa Anglikana katika kanisa la makumbusho la Mkunazini (kanisa la kwanza Afrika Mashariki) na amenijuza kuwa ni kweli wamejaribu kulichoma kanisa hilo baada ya kuvunja madirisha lakini jaribio hilo halikufanikiwa sana kwani waumini na polisi wanaendelea kuuzima moto.

Bado wanaendelea kuzima moto.

Namba ya Canon Masoud ni 0654 523 552.
 
Hivi wakristo wamewakosea nini uamsho au uislamu?
wakristo ndo wamemkamata kiongozi wao?
wanakera sana hawa watu
 
...wanasapoti haya, wanaweza kusema ni kipi wanachopigania...maana mara makanisa yanachomwa, mali za watu binafsi zinaharibiwa, majengo ya ccm yanachomwa, polisi kauawa...nk.
Nahisi sielewi jamani...
 
Nimepata taarifa rasmi kutoka kwa Canon Emmanuel Masoud ambaye ni Padri wa Anglikana katika kanisa la makumbusho la Mkunazini (kanisa la kwanza Afrika Mashariki) na amenijuza kuwa ni kweli wamejaribu kulichoma kanisa hilo baada ya kuvunja madirisha lakini jaribio hilo halikufanikiwa sana kwani waumini na polisi wanaendelea kuuzima moto.

Bado wanaendelea kuzima moto.

Namba ya Canon Masoud ni 0654 523 552.

wametaka kuchoma jamani, sijadanganya kama mnavyodhani. huyu amethibitisha.
 
Nimekuwa nikijuliza mara
nyingi sana kwa nini tabia na misimamo ya waislamu hufanana sana duniani
kote. Mwanzoni nilikuwa nawalaumu sana waislamu wale wanaofanya matukio
ya kiislamu wao binafsi ila baadaye nikagundua kuwa kumbe tatizo sio
watu binafsi ila ni mafundisho ya dini ya kiislamu kupitia kitabu chao
cha quran. Lakini pamoja na hayo nimejaribu kuangalia historia ya
waislamu ambao waloikuwa na majina makubwa na misimamo mikali kuliko
hata wa sasa na ambao hawakuamini kuwa wanaweza kufa mfano....osama bin
laden, sadam hussein, muamary gadafi lakini mwisho wake wakafa kwa aibu
sana. Kuna waislamu mamilioni kwa mamilioni wamejitolea muhanga ili tu
kuua wenzano ili waende peponi kwa allah wao.
Hivi hao waliokwisha kufa wamewahi kurudi kuwaeleza faida wanayopata
huko waendako? Maana naona waislamu wanazidi kushikilia misimamo yao ya
ajabu ambayo naamini ni mafundisho ya kidunia zaidi. Hivi bado allah
akiulizwa anaendelea kuwafundusha hivyohivyo waislamu?... Inawezekana
waislamu wa sasa hawajazungumza na allah kwa muda mrefu na ndiyo maana
naye amewaacha waendelee na uo u wao vinginevyo naamini wangemuuliza
allah angewaambia waislamu waache kufikiria kwa kutumia ******,
wasikilize na kusoma lakini wachanganye na za kwao.

we mbwa nin,acha ujinga wewe,kama huna hoja za msingi nenda kakojoe ulale na si kuandika ujinga wako hapa
 
Back
Top Bottom