Tulizana, tuko wangapi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tulizana, tuko wangapi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crocozilla, Oct 19, 2012.

 1. Crocozilla

  Crocozilla JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI :-

  Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email:

  "Mama nina UKIMWI"

  Mama yake akajibu:

  Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-

  Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,

  Mkeo atamuamkukiza kaka yako,

  Kaka yako atamuambukiza hausigeli,

  Hausigeli atamuamuambukiza baba yako,

  Baba yako atamuambukiza dada yangu,

  Dada yangu atamuambukiza mume wake,

  Mume wake ataniambukiza mimi,

  Mimi nitamuambukiza dereva wetu,

  Dereva atamuambukiza dada yako,nadada yako km unavyomjua atakiambukiza kijj kzm!ww 2ma pesa 2 ubki huko huko MWANANGU!!!
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mitandao kama hii ina ukweli kabisa katika maisha na mahusiano, ila mimi sijaelewa kwa nini huu mzunguko
  wa mama mpaka utokee kwa dada wa mama yake!!!
   
Loading...