channel 10 mpo juuu ba mnastaili pongezi kwa hili tukio mlilolionyesha siku ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

channel 10 mpo juuu ba mnastaili pongezi kwa hili tukio mlilolionyesha siku ya leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, Oct 19, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,748
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  msema kweli ni mpenzi wa mungu kusema leo channel ten.....wanastaili kupewa pongezi kwa kuonyesha matukio haya yafuatayo.......kwa siku ya leo

  1.vurugu za mapambano vyombo vya ulinzi na kupigwa kwa waisilamuu

  2.maandamano na vurugu maeneo ya buguruni,vingunguti kwa siku leo

  3.vurugu za kupigwa kwa waisilamu msikiti wa mtambani maeneo ya kinondoni

  4.askari polisi kuingia msikitini kwa kupambana na raia

  5.vibaka waliokuwa wakipora madukani kariakoooo

  6.vurugu za uamsho zilizojili zanzibar hii leo

  kusema kweli ni channel 10.......mnastaili pongezi.....mpo juu na sasa watu wengi tuna imani na nyinyi
   
 2. kimo_mcharo

  kimo_mcharo Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hivi kuna uhalali wa kufanya vurugu kama sheria zipo?Na je ni sheria ipi inayosema watu wafamye fujo na kuharibu mali za watu wa itikadi tofauti na wewe?Kinachofuatia ni nini kama sio kuuana..chukulia mfano wakristo nao waseme inatosha waanze na kufanya kitu waislam wanafanya,je mnapata picha gani hapo wadau?Nipeni mawazo yenu muonavyo nyie....
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ya hata news zao ni kwa details sana tofauti na ITV na TBC ambao ndo kwisha kabisa!!!! ITV angekuwepo UFOO SARO naye anatoa habari njema sema SSM wameshamnunua!! Alikuwa anakula bata OMAN!!! Alipewa donge nono aache kuisemea CDM!!!!
   
 4. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  yaaaa hamisi suleman nimeipendaaa
   
 5. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  chanel ten Big up sana.
   
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Warudie na ile video ya askari akikanyaga/piga mateke baiskeli zanzibar!!!
   
 7. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Warudie na ile video ya askari akikanyaga/piga mateke baiskeli zanzibar!!!
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Mbona Hauwapongezi WALIONYESHA PICHA JINSI Waislamu Walivyoingilia MAKANISA na KUYACHOMA MOTO? Kama kulikuwa hakuna PICHA na HABARI hizo za PAPO HAPO kama hizo # 1 - # 6; Then it is One SIDED...

  Hii, Ndio CHANNEL 10; Mwandishi Mwangosi alikuwa anafanya kazi? Wakamkanusha?
   
Loading...