Mkuu wa mkoa wa DSM atoa tamko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa wa DSM atoa tamko!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Oct 19, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Amewahasa waislamu wanaotaka kuandamana leo kwenda ikulu wasifanye hivyo.

  source:ea radio(Zembwela)
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Wajaribu tuone nguvu ya mamba mumaji.
   
 3. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,602
  Likes Received: 2,243
  Trophy Points: 280
  Yuko sahihi.mimi naona serikali inachukua hatua za kufaa tu jamani.tuiungeni mkono kuliko kuilaumu
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo sasa, ngoma inogile. Ikulu watamkuta nani sasa, kwani jamaa kesharudi toka uarabuni?????
   
 5. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  waislam kwa waislam wanapambana...so waislam wanapambana na serikali ya jk,bilal,othman,mwema na kova....kazi kwenu ngoja nile kitimoto nusu hapa.
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli hawa watu ni kichwa ngumu sana!
   
 7. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Hivi mamabomu ya Mwangosi yameisha?????? hapo ndo pahala pake!! Though not good Ila some times you need to hasa pale upande wa pili unapotumia nguvu kupita kiasi- kuchoma na kuharimu mali za watu wengine
   
 8. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi anatakiwa kuwasihi au KUWAONYA?
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ikulu wanamfuata nani? Mbona mpangaji hayupo?
   
 10. KIMAROO

  KIMAROO JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 445
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  askari wa mwangosi aje kufanya kazi yake sasa
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Ongeza nusu ingine na ndizi Mpwa umenifurahisha sana. Baadae naenda Segerea kumtembelea Pondwa nitambebea kanusu kilo
   
 12. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  wanajua mkuu wa kaya hayupo ndo maana wanataka kwenda huko ili wapate sababu ya kufanya maasi
   
 13. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mapimbi kabisa hao, wanataka wakapigane na muislamu mwenzao??
   
 14. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hakuna mtu atakayeandamana leo. Kwani unafikiri wao hawaogopi kitu kizito?

  Uzuri watapambana na waislam wenzio, wasitafute kisingizio kwa wakristo.
   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280

  Kwani mkweree amekuwa KOBE siku hizi anatembea na nyumba?
   
 16. J

  John W. Mlacha Verified User

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kale kababu kanashusha kilo moja kale
   
 17. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  enough is enough! kwani mkulu karudi??? mbona wanawachelewesha??? yaani nimegundua ukiwa na mume DHAIFU, bora kuomba talaka kurudi kwenu!
   
 18. S

  Syosaamenye Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mh!! mi napita tu.
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  sasa wanaenda kuliona jengoa au mkaazi wake?
   
 20. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  msalimie sana bana...mwambie sasa wapambane waingo'oe ccm madarakani ,sijui wanataka nani aongoze nchi hii,ninafurahi kua viongozi wakuu ni waislam na bado wanalalamika,edo aje naye tuone kama hajafumua matumbo watu.
   
Loading...