Tangazo la dharura. Waumini wote wa Kikristo Dar wakeshe makanisani mwao leo na kesho... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la dharura. Waumini wote wa Kikristo Dar wakeshe makanisani mwao leo na kesho...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Oct 19, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Taarifa za kiintelijensia zinaonyesha baada ya kutawanywa na polisi, vikundi vya watu wanaofanya vurugu wamedhamiria kuchoma makanisa na kudhuru leo usiku. Kwa mantiki hiyo naomba kuwashauri waumini wote wa kikristo wa dar leo na kesho wajitolee kulinda makanisa yao usiku kucha. Ingawa walioandamana ni wengi, lakini imethibitka kuwa watakaohusika kuchoma makanisa ni kundi dogo ambalo hawazidi 200.
  Asanteni, nitarudi baadae...

  Tahadhari: Wawe wamejihami...
   
 2. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ndio muraa tutafanya hivyo wala usihofu
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yanini kupambana na hao vichaa, waache wachome yatajengwa mengine.
  Polisi ndio wajipange kulinda raia na mali zao!

  Hii inadhihirisha nikiasi gani weredi wa hawa watu ni mdogo sana katika kutambua adui wao !
   
 4. m

  msapwat Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  acha upumbavu wewe kututisha wakiristo, makanisa yetu anayalinda mwenyezimungu. inaonekana wewe ni mchochezi.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Suala la kulinda makanisa liwe endelevu maana hawa wanaotaka yachoma ni zaidi ya Vichaa
   
 6. Mura Weito

  Mura Weito Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nina Dar, kwa nini Zanzibar, inamaana Waiziharamu wapo Dar na Zanzibar tu!!!!!! This is idiotism wake guys.
   
 7. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  tumekusoma mkuu,maana wana hacra ya kushidwa kwa jaribio lao
   
 8. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hiyo kazi ya polisi mkuu...tunailipia kodi.....kulinda raia na mali zao....wewe kalale usingizi mzuri tuu nyumbani
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Acha kuchonganisha watu
  taarifa za kiitelijisia peleka polisi

  wewe umezipataje kama sio muongo?

  wajihami ili iweje?

  polisi kazi yao ni nini?
   
 10. N

  NJENI COBS New Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuchomwa kwa makanisa si tiga swali la kujiuliza ni kwanini yachomwe?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  hizi ni taarifa za kizushi
  yeye kazitoa wapi?
  si aende kuzipeleka polisi??
   
 12. N

  NJENI COBS New Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Enyi polisi gasia hizi ndizo zinaweza kutupa majibu kuwa serikali yetu ikoimara kiasigani
   
 13. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  mungu wetu sie hayupo kanisani tu,popote anatusikia tukimwomba
   
 14. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Taarifa hii ni hatari sana kwa Wakristu, ushauri huu ukifuatwa utasababisha wakiristu wengi sana kupoteza maisha. Nitoe wito kwa wakristu msiende wala kujazana kwenye makanisa yenu kulinda, badala ya kuuwawa na hao mnaowaogopa, mtauwawa na askari.

  itakuwaje? nyinyi hamna mafunzo yoyote ya ki-mafia hivyo kikundi hicho kama kipo kitafanya kazi ya kuwa-provoke na nyinyi mtataka kuwakimbiza ama kufanya jambo lolote ambalo litawavutia polisi usiku huo kuwamiminia risasi, kesho asubuhi itageuka kuwa vita kwa kuwa wakristu wengi watakuwa wameuawa na inaweza kutokea wakristu wakaamua kuunga mkono fujo. hilo ndilo linalotafutwa.

  kwa kuwa jeshi limejitokeza kulinda, tafadhari laleni majumbani kwenu. Makanisa tutajenga mengine. Mweleze na mwenzako
   
 15. N

  NJENI COBS New Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibar hali si shwari mabomu kila kona
   
 16. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ukristo sio makanisa hata wayachome yote bado ukristo utasimama
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Anayehisi ni uzushi sawa. Kesho tutakuwapo hapa jukwaani...
   
 18. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  siyo dar tu makanisa yote ya mikoani na mjini palipo na hawa ndugu zetu waislamu waliotayari kufa kwa ajili ya upumbavu ili mradi akili zimewatuma kutetea mungu wao yawe na ulinzi endelevu wa Mungu mwenye uwezo wote
   
 19. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 20. p

  parachute Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15

  Mungu wetu ni Mungu Mwenye nguvu. Hata wakifanyaje hawataweza kumzima. Poleni Wote wa DSM
   
Loading...