Dar: Barabara mitaa ya Posta zafungwa kwa muda, watu wametaharuki

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Polisi wamefunga barabara ya hapa Posta Mpya na daladala zinageuza hazitumii tena kituo cha kawaida.

Hali inaonekana si shwari, wanajeshi wametanda! Taharuki inazidi kuongezeka kwa raia

PICHA:

[Kwa picha za matukio maeneo mbalimbali fuatilia: Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko leo mchana ]

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Kituo cha daladala cha muda kimehamia mbele ya Hidery Plaza:
attachment.php
 
Attachments

  • posta-magari-hakuna.jpg
    posta-magari-hakuna.jpg
    69.5 KB · Views: 2,579
  • posta-magari-hakuna1.jpg
    posta-magari-hakuna1.jpg
    65.6 KB · Views: 2,261
  • posta-magari-hakuna3.jpg
    posta-magari-hakuna3.jpg
    72.1 KB · Views: 2,175
  • kitu-cha-muda.jpg
    kitu-cha-muda.jpg
    53.5 KB · Views: 1,773
  • barabara-imezuiwa.jpg
    barabara-imezuiwa.jpg
    81.6 KB · Views: 1,595
Si mtupe mahakama ya kadhi, kwani mmesahau ahadi ya chama chetu ya kuwa suala la mahakama ya kadhi litapatiwa ufumbuzi?????????? Msipotupa haki yetu, sisi tutajichukulia.
 
Posta ya wapi mkuu? Mbona hapa tulipo tunalamba stempu na kuwatumia parcel ndugu na jamaa zetu ndani na nje ya nchi?????
 
Tahadhari kwa wote wasiohusika maeneo ya posta na kariakoo kuondoka haraka ili kupisha vyombo vya dola kufanya kazi yake.
 
Si mtupe mahakama ya kadhi, kwani mmesahau ahadi ya chama chetu ya kuwa suala la mahakama ya kadhi litapatiwa ufumbuzi?????????? Msipotupa haki yetu, sisi tutajichukulia.

afu mje kusema tena mmechongewa kama BAKWATA
 
Si mtupe mahakama ya kadhi, kwani mmesahau ahadi ya chama chetu ya kuwa suala la mahakama ya kadhi litapatiwa ufumbuzi?????????? Msipotupa haki yetu, sisi tutajichukulia.

Kwani hiyo ni haki yenu au ni kuwa mlidanganyika?Sehemu gani ya katiba inasema mahakama ya kadhi ni haki yenu?
 
mkuu asante kwa taarifa. Tunaomba uweke picha ya hao wanajeshi.
 
Inatia huruma kwa kweli kuona tunaingia kwenye umwagaji wa damu pasipokuwa na kiongozi mwenye msimamo na taifa letu.

Maisha haya tuataamkumbuka sana BWM kwa kuongoza taifa hili kwa haki na usaawa na kuwa na msimamo wa dhati na taifa hili bali mafisadi hawapendi wajilimbikizia mali na kila uchao wanaenda safarii tuu bila hata chembe ya woga dhambi inawatesa sasa kwa upande mwingine ni haki kwa waisliamu kulilia rasilimali ya nchi hii kama wazalendooo na taifa hili.

Je, nataka kujua na katika hili CHADEMA wanahusika nalo pia? Maana kila kitu huwa tunaseama chadema na kundi lao je na hili wanahusika.

Nataka kusikia kauli za wana mapinduzi aka magambaaaaaaa
 
Ni vyema ukapata taarifa kwa usahihi, hapo ni kuwa mkuu wa kaya alikuwa anaandaliwa njia ya kupita wakati wa kurudi ikulu
 
quote_icon.png
By Mangaline

Si mtupe mahakama ya kadhi, kwani mmesahau ahadi ya chama chetu ya kuwa suala la mahakama ya kadhi litapatiwa ufumbuzi?????????? Msipotupa haki yetu, sisi tutajichukulia.
kwani mahakama ya kadhi mmenyimwa? si mlishapewa na mmeshachagua viongozi wenu?
 
Back
Top Bottom