Waliochoma makanisa wako wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliochoma makanisa wako wapi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by politiki, Oct 19, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Inaelekea serikali inataka kuwachanganya watu ktk hili swala zima ukisoma hati ya mashitaka aliyofunguliwa
  Ponda hakuna issue ya yeye kuhusika na kuchoma kanisa wala hakuna aliyefunguliwa kosa hilo.
  Tuhuma nyingi alizofunguliwa Ponda ni za kisanii tu kwa ajili ya kuwarizisha wakristo kwa kitendo cha kuchomewa
  makanisa yao. makosa yote aliyoshitakiwa nayo ni almost impossible kuyathibitisha kwani yalifanywa na kundi kubwa
  la watu na yeye hakuwahi kukamatwa ktk eneo la tukio.

  USHAURI WANGU.
  Bahati mbaya jk huwa hafanyi kazi bila kushinikizwa kwahiyo Kuna haja ya maaskofu kwenda kuonana na JK kuwasilisha malalamiko yao huku wakidemand kujua hatima ya makanisa yao kuhusiana na fidia na pia serikali inafanya nini kuakikisha uhuni huu hautokei tena na pia kutoa timeframe ktk kila wanalokubaliana never ever give him open ended
  comittment.
   
 2. m

  manduchu Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hapa ndipo watawala wetu wanapowagawa wananchi live, wakimaliza kutugawa kwa dini zetu itakuwa ngumu sana kutuweka pamoja.
   
 3. D

  Dr.Who Senior Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mawazo yako ndiyo waislam siko zote wanalalamika, kuwaridhisha wakiristo kwa gharama ya muislam, Ponda kuwekwa ndani kwa kuwaridhisha wakiristo na kufunguliwa kesi za kisanii, huu ndio mfumo kristo tunaoukataa, kwanini yeye Ponda awe mbuzi wa Kafara? Yeye hana haki ya kuishi kwa amnai kama mapadre ?

  Mkanisa yenyewe tumeyajenga kwa kodi zetu sisi waislam, na MoU. sioni sababu tena kwanini serikali walipie fidia, naamini kabisa Wakiristo wenzenu wakina Edward na wale mafisadi wengine wa TRA wataongeza kuvu za ufisadi kwa ajili ya kuchangia makanisa, kwa hiyo usijali Lowasa yupo???
   
 4. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  yeye Ponda amechoma kanisa gn? kuna yeyote alikamatwa kwa uchomaji wa kanisa?
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Pesa za MOU zinajenga makanisa? Thibitisha kama kweli wewe ni mwislam wa kweli na mpenda haki. Na kwa nn jk alivyowaambia muombe mou yenu mkakataa? Hampendi amani bila shaka ..but muslims are safe only when they are in usa and europe
   
Loading...