PICHA: MGAMBO Kazini KUZUIA VURUGU za DAR... Lakini KARIAKOO KIMYA na PATUPU... SHUHUDIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: MGAMBO Kazini KUZUIA VURUGU za DAR... Lakini KARIAKOO KIMYA na PATUPU... SHUHUDIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Oct 19, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  [​IMG]
  Twende garini.....


  [​IMG]
  Akaaaa sio mimi jamaniiiiiii, Babu (kulia} akijitetea...
  [​IMG]
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....
  [​IMG]
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....
  [​IMG]
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....


  Askari wakimdhibiti babu...
  [​IMG]
  Babu akishuhshwa garini kuingizwa kituoni.....
  [​IMG]
  Mgambo wa kike akipambana na kijana kumburuta kumpeleka garini, baadaye mgambo huyu CHALIII
  [​IMG]
  Mgambo chaliii,lakini wapi anaye tuuuu....

  [​IMG]
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....
  [​IMG]
  Watuhumiwa wakipandishwa garini....
  [​IMG]
  Jamaa akijaribu kueskep ambapo alikula bonge la mtama na kutambaa kama hivi na kudakwa na mgambo wa kike....
  [​IMG]
  Maeneo ya Posta nako hali haikuwa shwali sana, ulinzi uliimalishwa kama hivi...
  [​IMG]
  Babu panda gari haraka......
  [​IMG]
  Kijana twende ohooooo.....
  [​IMG]
  Maeneo ya Kariakoo njia na barabara zote zilikuwa nyeupeeee kama hivi...
  [​IMG]
  Njia zote za kwenda na kurudi yalikuwa yakitamba magari ya polisi tu.
  [​IMG]
  Askari wakikagua paspoti ya Raia wa kigeni, ili kumruhusu kupita maeneo hayo....Posta mpya.
  [​IMG]
  Njia zilifungwa kama hivi....
  [​IMG]
  Daladala ziliamuliwa kubadili na kupita njia nyingine.....
  [​IMG]
  Abiria wengi walikwama usafiri....
  [​IMG]
  wengine waliamua kutembea kwa miguu....
  [​IMG]
  Askari wa doria ya pikipiki wakikatiza katika mitaa ya Posta Mpya....
  [​IMG]
  Askari wa Mbwa wakiimarisha ulinzi.
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"]FFU wakizunguka maeneo ya Kariakoo leo huku wakitumia kipaza sauti kuwataka wananchi wote kurejea majumbani kwao[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"]Hili ni eneo la Msimbazi ambalo kwa kawaida huwa kuna msongamano mkubwa wa watu[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent, align: right"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent, align: right"]Eneo la mzunguko wa Kariakoo ambalo jiupe kama unavyoliona hapa[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"]Hapa sio maduka yamefungwa muda umepita ama wahusika wamefiwa hapana ni baada ya vurugu kutokea[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"]Hii ni kariakoo sio biashara mbaya ni usalama hakuna[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]

  ingekuwa vipi kama kariakoo kila siku kungekuwa hivi?

  [​IMG]


  Askari Kanzu akimsindikiza kwa teke mmoja kati ya watuhumiwa waliokamatwa wakati wa operesheni maalum iliyowekwa katika jiji la Dar es Salaam,leo mchana ili kuwadhibiti baadhi ya waliodaiwa kuwa ni waumini wa dini ya kiislam, waliokuwa wamepanga kufanya maandano mchana wa leo baada ya Swala ya Ijumaa kuelekea Ikulu kwa lengo la kushinikiza kiongozi wao, Katibu wa Jumuiya za Taasisi za Kiislam, Sheikh Ponda, aliyekamatwa majuzi,aachiwe. Hata hivyo jitihada za watu hao ziligonga ukuta baada ya wao kujipanga kutokea kila kona na kukutana maeneo ya Ikulu, lakini la Askari pia walijiandaa na kujipanga vyema kila kona ya jiji na kuwadhibiti watu hao. ​
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kariakoo EMPTY IJUMAA JIONI??? Lakini Kwanini MGAMBO?
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Wewe ni mkali inatakiwa ukasaidie kupiga picha TBC maana inaonekana hawana wapiga picha
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  teheee nchi kwishney
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu umenitembeza Dar bila nauli!hongera sana, kumbe k/koo bila mishemishe inawezekana!Dawa=Migambo
   
 6. p

  parachute Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  kweli leo Historia imeandikwa ndani ya DSM. Mungu atunusu na huyu shetani anaezidi kujiinua.
   
 7. A2 P

  A2 P Senior Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimewakubali mgambo
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  dah! Ijumaa tete
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Baada ya mkasa wa Daudi Mwangosi ningeshauri waandishi wa habari na hasa wapiga picha wawe wanavaa nguo zenye kuonesha wao ni nani wakati wanakusanya habari kwenye maeneo ya machafuko.

  Ukiangalia hizo picha utaona ni jinsi gani wapiga picha wako karibu na maaskari (including plain clothes askari) na hivyo wanakuwa kwenye risk kubwa ya mistaken identity. Kwanini wasivae vizibao vinavyoonesha wao ni nani? Kuwa na camera haitoshi maana hao waandamani wanaweza kuwa na mpiga picha wao pia.
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Tufikirie juu ya vyeo vyao visivyosogea,hahaAa hivi kuna nyota kwa hawa raia wakakamavu?
   
 11. Hadji Sihaba

  Hadji Sihaba Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lakini mgambo ni jeshi ambalo wakati mwingine hawana busara, kila aliyekatiza mbele yao alikula mabuti tuu, hata wasiokuwemo walikula kichapo, si kusifia jamani kuna wengine wamekamatwa bila kosa ...
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Thax nngu007, picha zako zimeenda vidato.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. kukomya

  kukomya JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  TBC ni mzigo wa Taifa maana imegeuzwa kama tawi la wakereketwa wa CCM kwa gharama ya kodi zetu! Wanafanya kazi kwa maelekezo toka mtaa wa Lumumba.
   
 14. M

  MC JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nngu007 Asante sana, picha makini sana, uko juu
   
 15. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  da jamanai mbona hakuna wanao andamana? dah kumbe uongo mtupu
  polisi wetu bwana haya tutaona mengi
  wanataka kuhamisha ya kumteka shk farid kwa ku create kuna fujo wala sijaliona hilo fujo
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  chezeiya kichapo weye???? wameufyata kimyaaaaa!
   
 17. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  kariakoo kama gaza
   
 18. J

  JahGun Senior Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni upuuzi mtupu....mimi sijawahi kuona operation inafanywa Police, Jeshi na Mgambo wa jiji...kila aina ya jeshi kuna taratibu zao na tactic zao sasa hapo kinachoendelea ni uonevu tu na unyanyasaji raia, likitokea la kutokea sijui msemaji atakuwa nani sasa jeshi, plosi au mgambo?
   
 19. J

  JahGun Senior Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao mgambo ndiyo wanaongoza kwa wizi wa vitu vya wafanya biashara, labda leo waone noma coz wamechanganyika na majeshi mengine.
   
 20. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakuna watu wajinga na wapumbavu kama wagambo! Wenzao FFU wanakaa kambini kupatikana uswahilini kwa tabu,wao kila mara wanadhurura ovyo mitaani je wanatarajia nini?? Tusubili mabalaa yatakayowakumbuka kila kona,especially KKO na mbagala.
   
Loading...