Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...

More updates to follow.
 
POLISI ACHA MFE, MNAJITAKIA WENYEWE SILAHA MNAZO MAMLAKA MNAYO MNASHINDWA KUYATUMIA. MKIAMBIWA KUWA MKO OVERPOWERED BY SOMEBODY MNAKANA.ENDELEENI KUUWAWA NA SILAHA ZENU MKONONI.

By the way endelea kutujuza kinachoendelea na ikiwezekana tupia picha za mauaji hayo.
 
du sasa hapa wamefikia pabaya, kwa ninavyowajua hawa jamaa (askar) wasiotumia ........., watawamaliza raia huko zenji km kulipiza kisasi. km akipigwa askari tu mtaa mzima kichapo wk nzima, akifa je?
 
POLISI ACHA MFE, MNAJITAKIA WENYEWE SILAHA MNAZO MAMLAKA MNAYO MNASHINDWA KUYATUMIA. MKIAMBIWA KUWA MKO OVERPOWERED BY SOMEBODY MNAKANA.ENDELEENI KUUWAWA NA SILAHA ZENU MKONONI.

By the way endelea kutujuza kinachoendelea na ikiwezekana tupia picha za mauaji hayo.

wewe ni gamba. Polisi hawaruhusiwi kuua!
 
wanachokitaka watawala kitatimia mda si mrefu coz haiwezekani wakae kimya wakati nchi ipo katika hali tete namna hii
 
Hii ndio athari kubwa ya kulea makundi ya kidini bila kuangalia kwa makini nini malengo na madhumuni ya kuanzishwa kwayo.ikumbukwe kuwa makundi ya kidini,ya kikristo na kiislamu yapo mengi na hayana mwelekeo wa amani.
 
Mwanzo wa ngoma ni lele HATA BOKO HARAMU WALIANZA KIDOGO KIDOGO Wahusika wa usalama wa Taifa na dola kiujumla amkeni nchi inavunda.Mnaact kwa wafanyakazi na wanaowatetea kama akina Dr. Ulimboka,Nyololo kwenye vikao vya ndani lakini vitu vinavyohatarisha hasa usalama wa nchi pole pole kama kono kono ndo mwendo.BABA NYERERE TUNAKUKUMBUKA NA UMOJA NA MSHIKAMANO ULIVYOTUACHIA VINAMONG'ONYOKA.
 
Back
Top Bottom