Picha: Dawasco imekufa? Siku tatu maji mengi yanamwagika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Dawasco imekufa? Siku tatu maji mengi yanamwagika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwitongo, Oct 20, 2012.

 1. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku ya tatu DAWASCO wakiwa hawajafika kuziba bomba hili la maji katika eneo la Luguruni Stendi (Makondeko. Maji yanamwagika usiku na mchana, hakuna hatua zozote za kuziba bomba hili wakati maelfu ya watu Dar wakikosa maji. Hii inaashiria nini?

  Mdau dawasco.JPG
   
Loading...