Bara la Afrika limekuwa likishuhudia migogoro, uasi na mivutano ya mara kwa mara. Hivi chanzo hasa cha migogoro hiii ni nini? Kwa mfano Somalia, sasa Congo DRC na kabla ya hapo, Sudan, Zimbabwe...
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za...
kweli tuna shirika la hifathi la wanyama pori linaitwaTANAPA kwani limetoke kufahamika na wanaozungukwa na hifathi 2 je kwa wanaoishi miko ya mbali wana nufaikaje na HILI SHIRIKA TANAPA
Ndugu wana JF Serikali kwa Kulifungia gazeti la MwanaHalisi naona imefanikiwa Lengo lake la kuzuia uvujaji wa Habari za ndani za Serikali, Nimejitahidi kufuatilia habari mbalimbali katika magazeti...
Maoni ya Katuni
Akiwa mgeni rasmi katika hafla ya kutunuku tuzo kwa waandishi bora katika fani mbalimbali (EJAT) mwaka juzi, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi,
ambaye anatajwa kama baba wa...
Tunaweza Campaign
Objective of the campaign is to achieve a fundamental shift in social attitudes and beliefs that support and normalise violence against women. #Tunaweza Zuia Ukatili Dhidi ya...
hebu chekicheki unaweza kuona sifa zinazolingana na pombe uipendayo.
NO.
UJAZO (mililita)
NGUVU (asilimia)
KIASI CHA POMBE(mililita)
WANAWAKE
WANAUME...
Leo ni simu ya waislamu wa madhehebu ya washia wakimkumbuka mjukuu wa mtume Mohammed (S.A.W).
Washia wametumia siku ya leo kutoa damu salama kwa benki ya damu ya taifa. Damu hii itazambazwa...
habari wana jf, jana ijumaa nlikuwa mjini iringa, nikawa nasikiliza redio moja inaitwa ebony fm maarufu xana kwa nyanda za juu kusini, katika kipindi kinachoitwa morning talk watangazaji neema...
MVUA zilizotarajiwa kusababishwa hali ya El Nino zinaelekea kuyeyuka kutokana na kutokea kwa mabadiliko ya ajabu katika bahari ya Pasifiki, Taarifa rasmi zinaeleza.
Taarifa hizo zimetolewa na...
Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile anaongea Live kwenye kipindi cha Makutano Magic FM na Fina Mango akiongelea kuhusu ishu ya mji mpya wa Kigamboni
wana JF habari zenu. ninabarua mbayo nimeipata inayohusu ufisadi wa diwani ambayo nimeshindwa kuiskani kutokana na kutokuwa na scana, il imenibdi niiandike kama ilivvo
CHAMA CHA MAPINDUZI
OFISI...
Hapo miaka ya nyuma historia yatuambia kuwa Dar es salaam iliitwa Mzizima, jina lililokuwa na asili ya mahali hapa kabla ya sultan wa kiarabu kubadilisha na kupaita Dar es salaam
swali langu na...
Kwangu kuna vyumba v5,,,,,na sroom ,,kuna fridge 2,,zenye compresor moja moja kila 1,taa za utumbo,feni 4 ceilling fan,table fane 1 desktop 1 inayowashwa masaa 5 kila sk, tv 2 na deck zake,. Umeme...
Mdau aliekwepo kwny mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa MAT atujuze, yasemekana vurugu zimezuka baada ya kupitisha majina ya wagombea ambao hawkubaliki na madaktri wengi nchin, Mf:dr. Haonga na dr...
Wana JF Kuna kitu sielewi kuhusu Mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi kwa nini mara zote anapopelekwa mahakamani anafichwa sura na sijaona hata mwandishi mmoja aliyeweza kupiga picha halisi ya...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka nchi mbalimbali duniani kuchukua hatua za kukomesha ukandamizaji dhidi ya wanawake. Akizungumza kwa mnasaba wa kuwadia siku ya kimataifa ya kukomeshwa...
Viongozi 10 wa nchi za eneo la Maziwa Makuu ya Afrika wanakutana leo mjini Kampala Uganda kwa shabaha ya kuujadili kwa kina mgogoro unaoendelea kutokota huko mashariki mwa Jamhuri ya...