Nini chanzo cha migogoro Afrika?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Bara la Afrika limekuwa likishuhudia migogoro, uasi na mivutano ya mara kwa mara. Hivi chanzo hasa cha migogoro hiii ni nini? Kwa mfano Somalia, sasa Congo DRC na kabla ya hapo, Sudan, Zimbabwe, Kenya, Afrika na kwingineko.
 
Migogoro yote hapa Afrika inatokana na bad governance. Viongozi wetu wana tamaa sana na waingiapo madarakani wanasahau kuwa walitoa ahadi gani. Hapa ndipo utakuta anaiba na kusahau yote aliyoahidi kuyafanya wakati anaomba kura zetu. Katika nchi nyingine wanaona bora kuwaua ama kuwapindua maraisi wao .
 
Kwakuongezea hapo kingine ni kutokuwa na sera na sheria zinazosimamiwa kwa umakini kulinda raslimali zetu na mgawanyiko unaogusa masla ya umma na hivyo kuwa na utaifa/uzalendo kwa wananchi wote
 
Corrupt leaders (such as Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Mubarak etc)
 
Uchu wa madaraka na tamaa ya kujitajirisha kwa kutumia rasilimali za Umma zinasababisha hasira kwa wananchi wengine, hence migogoro.
 
Back
Top Bottom