chakachuaz
Member
- Jun 20, 2012
- 13
- 0
jaman mwenye habar kamili anijuze,ni kwel serikal imeongeza mishahara ya watumishi ghafla?

mkuu hebu uwe siriazi bana, hizi ni tetesi ama???.....mbona utanifanya niende kukopa tena lol!
Hakunaga kitu kama hiki ikiwa mpaka leo sisi polisi hatujapokea mshahara wa mwezi Oktoba sasa watawezaje kuongeza mshahara ,Tunaomba serikali msitugombanishe na wenye nyumba wetu.
Serikali inakupa kwa mlango huu na kukukwapua kwa mlango mwingine
mleta mada hayuko serious anataka tu kuvuta watu wachangie maana anajua hili suala linagusa wengi
jaman mwenye habar kamili anijuze,ni kwel serikal imeongeza mishahara ya watumishi ghafla?
ahaaa! nilipoona jina lake kwamba ni chakachuaz basi nimejua kaichakachua tu habari hii hana lolote
jaman mwenye habar kamili anijuze,ni kwel serikal imeongeza mishahara ya watumishi ghafla?
Hakunaga kitu kama hiki ikiwa mpaka leo sisi polisi hatujapokea mshahara wa mwezi Oktoba sasa watawezaje kuongeza mshahara ,Tunaomba serikali msitugombanishe na wenye nyumba wetu.
mkuu kama ni kweli aisee nawapeni pole sana.
sasa kama serikali imeshindwa kuwalipa ni wazi kwamba haina hela kwa uwezo wangu mdogo wa kufikiri, na ikiwa kwamba CCM waliweza kufanya mkutano wa mamilioni kule Dodoma bila kujali kwamba kuna watumish ambao hawajalipwa mishahara basi CCM imekosea sana. Nafikiri kama iliweza kutafuta hela kwa wafadhili na popote pale ili kufanikisha ule mkutano basi wangeweza kutumia nguvu hizo hizo kutafuta hela za kulipa watumish wake kwakua CCM ndo serikali yenyewe...............