Yaliyojiri kwny uchaguzi wa MAT Moshi

Yaliyojiri kwny uchaguzi wa MAT Moshi

gabatha

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
135
Reaction score
57
Mdau aliekwepo kwny mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa MAT atujuze, yasemekana vurugu zimezuka baada ya kupitisha majina ya wagombea ambao hawkubaliki na madaktri wengi nchin, Mf:dr. Haonga na dr. Kabangila.
 
serikali ilipanga kuweka mamluki kama ilivyofanya TAHILISO lkn imeshindwa,
 
Duh ! Yashakuwa hayo tena ? Au ndiyo mambo ya LIWALO NA LIWE ?
 
Back
Top Bottom