Kashfa kwa wizara ya maliasili na utalii

Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
52
habari wana jf, jana ijumaa nlikuwa mjini iringa, nikawa nasikiliza redio moja inaitwa ebony fm maarufu xana kwa nyanda za juu kusini, katika kipindi kinachoitwa morning talk watangazaji neema msafiri, raymond francis, kilicho nivutia zaidi walipoxema kuna malalamiko ya msitu mmoja unaitwa sao hill ambao ulianzishwa mwaka 1974/75 kwa lengo la kupata mbao na karatasi lakini kwa miaka hii nasikia kuna vibali vinatolewa kwa watu binafsi kuweza kuvuna magogo ambayo yanatumika kwa matumizi mbali2, sasa according to ile clip tuseme, wananchi wa wilaya na mkoa wa iringa wamelalamika kwamba walitangaziwa wanaohitaji kuvuna waombe vibali, masharti ni kuwa na machine nzuri na mafundi mashine, walitekeleza hayo na wakafanyiwa ukaguzi, cha kushangaza ni kwa baada ya majina 600 kutolewa ni watu20 tu wazawa wa mufindi ambao wanatunza hou msitu ndo wamepa, cha ajabu zaidi wafuatao wana vibali zaidi ya viwili, rpc kamuhanda,mbunge wao wanamwita cjui kigola anacho yeye na mtoto wake anaitwa innocent, mbunge mahamud mgimwa, mkuu wa wilaya mgeni kabisa, deo sanga mbunge wa makambako,ocd wa mafinga na madiwani wawili wa mafing, na wengine wengi nasikia kagasheki ameitwa afike huko hawajibu chochote, wananchi wanadai serikali haiwajali na kuwajali wageni na wenyewe kuachwa wakiwa hawana kipato zaidi katika wilaya hy kujengewa gest tu kwa wageni na kuachiwa ukimwi. ni hayo tu, zaidi nakala ya clip hy mtaipata ebonyfm.com
 
Back
Top Bottom