Miaka 50 ya ccm wananchi bado wanakunywa maji ya vidimbwi

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
540
Wakati taifa la China lina umri sawa na Tanzania leo China uchumi wake uko juu ,technologia iko juu watu wa China wanakunywa maji safi na kuoga ,hali ipo tofauti hapa Tanzania. Wakazi wengi hutumia maji ya visima visivyo na maji salama,visima hivi vifupi hutumiwa sana na wakazi wa mijini na vijijini .

Wengi wamezoea hali hiyo ingawa kwa upande wa magonjwa familia hizi hutumia gharama kubwa kwenye matibabu kwa magonjwa yatokanayo na maji machafu ,hali hii ni mbaya sana si Arusha wala Handeni tatizo hili linakua huku wahusika wa mamlaka za maji wakiwa ofisini kuendeleza miradi iliyoachwa na wakoloni bila kuangalia idadi ya watu . Pamoja na kuwa CCM iko madarakani kwa muda mrefu inavyo onekana tatizo hili limewashinda na hufanya hili suala la maji agenda ya uchaguzi .Wakati umefika sasa tuangalie hili suala kwa mapana zaidi
.

nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom