Take part on change, tumchaneni Kibonde

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
1,424
Points
1,225

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
1,424 1,225
Wadau wengi tunatambua ni jinsi gani jina la Kibonde mara litajwapo humu ndani linavyochafua hali ya hewa. Clouds leo wametoa nafasi ya kuwachana kwa kutuma msg, mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa hiki kipindi kilipoanzishwa na captain G. kwakweli it was entertaining, later came Bwana Kibonde, yeye ni kila kitu anajua, ukiongezea na ushabiki wake wa chama tawala basi wengine taratibu tukaanza kujitoa na hatimae Gadner karudi na maskani pale times fm jioni ndo angalau. Simlaumu kibonde kwakuwa kada wa Ccm, la, namlaumu kwa kushindwa kufuata misingi ya taaluma ya habari(kama anayo), haiwezekani kila jambo la wazi ambalo serikali imekosea ye akasuport na kila jambo baya upinzani akashadadia, inaboa especialy kwa kina sisi ambao mpaka leo bado hatuna umiliki wa kadi ya chama chochote. Kwakweli kama clouds invites critics 4 a positive change lazima wakubali either kipindi kibaki kama entertaining kwa vichekesho vya kibonde au kuwe na some serious discusions ambazo anatakiwa awepo unbiased yet competent person, else saa kumi kabaaa huwa najizogeza times fm. Chukua nafasi ya kutoa dukuduku, wakilibeba sawa wakikataa sawa ila siku zote time is a very good teacher.
 
thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,346
Points
1,500

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,346 1,500

Ni mjinga tu ndo atakayeungana na wewe kuwa hauna kadi ya chama chochote cha siasa. Hivi kwa nini wabongo tunapenda sana kuzungumzia watu badala ya mambo ya msingi? KIBONDE ana kosa gani? kuwa muwazi katika kipindi chake cha JAHAZI? thread kama hizi zinatupotezea muda.
 
GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
5,598
Points
2,000

GreenCity

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
5,598 2,000
Niliacha kusikiliza kwa sababu ya watangazaji wake hasa huyu kibonde! Anakera sana amekaa kitaarabu zaidi! Siwezi hata kuwatumia sms clouds ya kuwachana! It is a wastage of tym! Mixtape za antivirus na jf vinatosha kuwachana!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,628
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,628 2,000
Simlaumu kibonde kwakuwa kada wa Ccm, la, namlaumu kwa kushindwa kufuata misingi ya taaluma ya habari(kama anayo), haiwezekani kila jambo la wazi ambalo serikali imekosea ye akasuport na kila jambo baya upinzani akashadadia, inaboa especialy kwa kina sisi ambao mpaka leo bado hatuna umiliki wa kadi ya chama chochote.
Kibonde ana haki zote za kutoa maoni na mitazamo yake kama mwingine yeyote yule alivyonazo.

Yeye kuwa na maoni ambayo ni tofauti na ya kwako si kukiuka misingi ya uanahabari.

Na ni wazi hujui na huelewi Jahazi ni kipindi cha aina gani.
 
Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,997
Points
1,500

Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
3,997 1,500
Ni mjinga tu ndo atakayeungana na wewe kuwa hauna kadi ya chama chochote cha siasa. Hivi kwa nini wabongo tunapenda sana kuzungumzia watu badala ya mambo ya msingi? KIBONDE ana kosa gani? kuwa muwazi katika kipindi chake cha JAHAZI? thread kama hizi zinatupotezea muda.
wewe pia kwa mchango wako huu unatupotezea muda
 
KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
1,073
Points
0

KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
1,073 0
Nakunwa sana na waandishi wa habari na watangazaji wasiohitimisha mada zao na kuwaachia wasikizaji kutoa conclusion.

kibonde yeye mwenyewe ni mtoa mada, ni mtoa maoni, ni mtoa ushauri, ni mtangazaji na anahitimisha mda yeye mwenyewe..... inaboa.

Utangazaji sio jukwaa la siasa.
 
Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
7,649
Points
2,000

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
7,649 2,000
Ni mjinga tu ndo atakayeungana na wewe kuwa hauna kadi ya chama chochote cha siasa. Hivi kwa nini wabongo tunapenda sana kuzungumzia watu badala ya mambo ya msingi? KIBONDE ana kosa gani? kuwa muwazi katika kipindi chake cha JAHAZI? thread kama hizi zinatupotezea muda.
Mambo ya msingi yanatokana na kutendwa na watu,kibonde hafanyi ya msingi ulitaka mleta uzi aitaje kampuni nzima ya Clouds?Kibonde anapotosha sana,japo taaluma yake haimruhusu kufanya hivyo.
 
KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
1,073
Points
0

KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
1,073 0
Ni mjinga tu ndo atakayeungana na wewe kuwa hauna kadi ya chama chochote cha siasa. Hivi kwa nini wabongo tunapenda sana kuzungumzia watu badala ya mambo ya msingi? KIBONDE ana kosa gani? kuwa muwazi katika kipindi chake cha JAHAZI? thread kama hizi zinatupotezea muda.
bila shaka wewe ndiye kibonde mwenyewe kwa uchungu ulionao.
 
KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
1,073
Points
0

KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
1,073 0
Kibonde ana haki zote za kutoa maoni na mitazamo yake kama mwingine yeyote yule alivyonazo.

Yeye kuwa na maoni ambayo ni tofauti na ya kwako si kukiuka misingi ya uanahabari.

Na ni wazi hujui na huelewi Jahazi ni kipindi cha aina gani.Nakunwa sana na waandishi wa habari na watangazaji wasiohitimisha mada zao na kuwaachia wasikizaji kutoa conclusion.

kibonde yeye mwenyewe ni mtoa mada, ni mtoa maoni, ni mtoa ushauri, ni mtangazaji na anahitimisha mda yeye mwenyewe..... inaboa.

Utangazaji sio jukwaa la siasa. Aina ya kazi anayofanya kibonde na kipindi anachoendesha sidhani kama anafanya vema hana sababu ya kuwa partsan au kuwa upande wa mada aliyoanzisha yeye mwenyewe.
 
Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
1,424
Points
1,225

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
1,424 1,225
Ni mjinga tu ndo atakayeungana na wewe kuwa hauna kadi ya chama chochote cha siasa. Hivi kwa nini wabongo tunapenda sana kuzungumzia watu badala ya mambo ya msingi? KIBONDE ana kosa gani? kuwa muwazi katika kipindi chake cha JAHAZI? thread kama hizi zinatupotezea muda.
Ni mjinga tu ndie atakayeamini kwamba kila mtu ana kadi ya chama flani. Anyway sijui kiwango chako cha elimu let me sum up 4 u.
1. ni mjua vyote, anaweza kutoa opinion kama daktari, engeneer, lawyer nk kitu ambacho ni imposible.
2. Ni shabiki wa ccm, ushabiki in short ni kufa na tai shingoni no matter what.
3. Anapenda kudominate discusions especialy now ambapo anajiona yuko na wadogo zake kina Wasi na Anold.
4. Habalance habari
5. ....
sijui kama unanielewa, tatizo la mashabiki mtu akikuchalenge unaona kama anagusa keki yako kumbe kuna watu tuko after FACTS sio siasa zenu uchwara.
 
KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
1,073
Points
0

KAZIMOTO

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
1,073 0
Kibonde ana haki zote za kutoa maoni na mitazamo yake kama mwingine yeyote yule alivyonazo.

Yeye kuwa na maoni ambayo ni tofauti na ya kwako si kukiuka misingi ya uanahabari.

Na ni wazi hujui na huelewi Jahazi ni kipindi cha aina gani.
Mimi ni mmoja wa walioacha kusikiliza jahazi hadi watakapomuondoa Kibonde nitarudi.

Fanya utafiti kidogo tu wananchi wanaendelea kujitoa kusikiliza Jahazi kwa sababu ya Kibonde kama uko nje ya Tanzania na hasa dar es salaam huwezi kuelewa.
 
Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Messages
3,500
Points
1,500

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2009
3,500 1,500
mm nadhan kabila lake (kibonde) ndilo linamponza...................

Sent from nokia 1100.............
You owe us ( the nyakyusa, of mwamba and ngonde) an apology.

I, for one is not him and will never be like him, never ever.

Mhukumu mtu kwa matendo yake sio kwa matendo ya wengine.
 
Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
1,424
Points
1,225

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
1,424 1,225
w
Come on guys KIBONDE is a very small valley.......lets discuss the big valleys bana
small valley directed towards your bedroom can hv a bigger impact. Media mind u is a 4th pillar it spreads news quickly, never ignore its impact. remember Rwanda genocide? what was the impact of media? Jahazi is a good planed the problem is that kavalley man! he would do better by sticking to his comedies n other specialized news awaachie wenyewe, ye achokoze mada namba za simu zipo watu watoe opinion, apigie cm specialists then msikilizaji a draw conclusion.
 
Forum statistics

Threads 1,390,646
Members 528,220
Posts 34,057,510
Top