massage place hapa Dar

massage place hapa Dar

elba10

Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
11
Reaction score
1
Za mchana jamani.
Naombeni kunijuza sehemu nzuri za kupata massage therapy kwa hapa Dar,
ukiweza kuweka na gharama nitashukuru sana na pia sehemu zilipo.
 
Nenda pale colloseum ,am not sure spelling ziko sahihi
Wako vizuri mpaka basii mkuu
 
ataweza kulipa dola 100 kwa saa??
Boflo kwani jamaa uchumi wake hauko njema!!!!!anaweza kulipa hata kwa zaidi ya dola 100!yeye shida yake aelekezwe ni wapi na bei!!ana mudu huyo Boflo
 
Last edited by a moderator:
Za mchana jamani.
Naombeni kunijuza sehemu nzuri za kupata massage therapy kwa hapa Dar,
ukiweza kuweka na gharama nitashukuru sana na pia sehemu zilipo.

Hizo zipi nyingi sana mkuu inategemea na standard yako tu. Kuna THE TOUCH SPA ipo new africa hotel na kunduchi beach bei ni kama 42 dollar kwa nusu saa. Zile za bei rahisi zipo kibao maeneo ya sinza,nwenge na makumbusho pale sokoni,bei ni kama 40000 tsh kwa saa na kuna extra service ukizihitaji check vizuri humu ndani kuna thread inayohusu hizo mushrooming spas.
 
Wajameni.
msinichukulie pouwa niko vizuri meeeeeeeeeeeeeeeeen!
mimi mgeni bongoland nipeni madarection ya huko hata kama collossium.
na huko k'nyama, k'ndoni
issues hapa ni mahali.
 
mbona majibu cpati nami naondoka j tatu kwenda arachugaaaaaaaaaaaaa
 
ATLANTIS hotel oysterbay zamani karibu hotel , The Look victoria , Serena Sayansi Knyama
 
Za kinondoni pia zina ile hidden service, so kama wewe ni kama mimi unapenda yale mambo yetu basi kinondoni ni muafaka kwako!!
 
nenda tranquil spa inondoni.pako poa mbayaaaaaaaaaaaaa......
 
nasikia kuna vimalaya vya viwango vya juu huko
 
Back
Top Bottom