Nimepoteza pochi

Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
195
Wanajamii jana usiku maeneo ya tegeta nimepoteza pochi yangu ikiwa na vitambulisho vya kazi leceni ya gari Itm card za NMB Na DCB bima ya AFYA Kadi ya mpiga kura vyote vikiwa na Jina la AMAN SAID DISAIL Kama kuna mtu ameviona apige simu namba 0754286329 AU 0714973871
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
12,254
2,000
katoe dili kwa vijana wa eneo hilo utapata vitambulisho vyako ila kuhusu vitu vya thamani hiyo anza kusahau taratibu,
BTW pochi likubwa au wamaanisha wallet (pocket size)
 
Borat69

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,527
2,000
Wanajamii jana usiku maeneo ya tegeta nimepoteza pochi yangu ikiwa na vitambulisho vya kazi leceni ya gari Itm card za NMB Na DCB bima ya AFYA Kadi ya mpiga kura vyote vikiwa na Jina la AMAN SAID DISAIL Kama kuna mtu ameviona apige simu namba 0754286329 AU 0714973871
Bw Disailly,
pole na matatizo.
Kutokana na uandishi wako na jina husika nina uhakika wewe ni Raia wa Congo au Burundi.
Ninachotaka na ningependa kujua Kadi ya kupigia KURA uliipataje? Chombo husika kimeanza kushughulika na watu Kama nyinyi ambao mnahatarisha usalama wa Taifa letu. Tunashukuru kwa kuweka hizo namba za simu...utasikia kutoka kwa wahusika.
Siku njema.
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,527
0
Wanajamii jana usiku maeneo ya tegeta nimepoteza pochi yangu ikiwa na vitambulisho vya kazi leceni ya gari Itm card za NMB Na DCB bima ya AFYA Kadi ya mpiga kura vyote vikiwa na Jina la AMAN SAID DISAIL Kama kuna mtu ameviona apige simu namba 0754286329 AU 0714973871

:biggrin1: tupe pin no yako ya ATM itakua rahisi kukutafutia ukitupatia
 
Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
195
wanajamii nashukura sana kadi zangu nimezipata kwa ushauri wenu niliwapa dili wahuni wa tegeta na kadi zote zimepatikana kwa yule aliyetaka pin za accöut zangu ni XXXXX
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom