Kwanini rais Museveni na Kagame hawakuudhuria ufunguzi wa ofisi ya EAC Arusha?

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
520
139
Wananchi wote wa Tanzania ni lazima mujiulize siku chache zilizopita kwa wale mulioshuudia tukio lile..hapa mjini Arusha..rais wa Uganda, Rwanda pamoja na Burundi hwakuuzuria hafla hiyo..

Tetesi zilizopo na ambazo zinaonekana ni kweli ni kwamba ni kitendo cha Tanzania kupeleka majeshi yake Congo (DRC) kupambana na waasi wa m23 ambao wanaungwa mkono na uganda pamoja na rwanda je...ni nini mustakabali wa jumuia hii changa ya afrika mashariki kama wakubwa hawa wameanzanza kususiana...mapema hivi..
Je wananchi wenzangu tutafika kwa hali hii......?
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,044
12,981
Sasa unauliza swali na kujijibu mwenyewe mkuu? Kwa taarifa nilizo nazo hao marais walikuwa na bado wako kwenye mchakato wa kurejesha amani DRC ila walituma wawakilishi wao.
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Olaigwanani

Sasa mbona umeshajibu mwenyewe tu?
Angalia hapo kwenye RED

Wananchi wote wa Tanzania ni lazima mujiulize siku chache zilizopita kwa wale mulioshuudia tukio lile..hapa mjini Arusha..rais wa Uganda, Rwanda pamoja na Burundi hwakuuzuria hafla hiyo..

Tetesi zilizopo na ambazo zinaonekana ni kweli ni kwamba ni kitendo cha Tanzania kupeleka majeshi yake Congo (DRC) kupambana na waasi wa m23 ambao wanaungwa mkono na uganda pamoja na rwanda je...ni nini mustakabali wa jumuia hii changa ya afrika mashariki kama wakubwa hawa wameanzanza kususiana...mapema hivi..

Je wananchi wenzangu tutafika kwa hali hii......?
 
Last edited by a moderator:

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,902
10,408
Ila Kagame amekuwa hafiki kwenye hafla nyingi sana ambazo zinafanyikia Tanzania huwa anamtuma PM wake kila mara.....tulishangaa Vasco alipoenda Rwanda siku ya uhuru wao na akakagua gwaride ,huyu wa kwetu anajulikana anapenda sana safari ,hawezi kufikiria sababu ya mwenzake kugomea kuja Tanzania zaidi ya mara 10,ila yeye mbio alienda!sijui ni Protocol aina gani ya upande mmoja!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom