Wote hawa tungechangia hata shs 1000 tu kwa mwaka, JF ingepata zaidi ya milioni 100. Mods angalieni namna tunavyoweza kuchangia hata kwa zile namba tano za simu za mkononi.
Ukizingatia kua ni eneo lilikua nyuma sana kimaendeleo ukifananisha na maeneo mengine nchini wanayo haki yakudai maendeleo kwa rasilimali zinazowazunguka.
SOMA:
WAKULIMA wa Kijiji cha Mangamba...
Leo asubuhi mzungu mwenye uzoefu na Tanzania aliwasili JKN international Airport akitokea Zanzibar, akaingia kwenye taxi mojawapo ya Taxi za pale air port zenye mstari wa kijani lakini badala yake...
Mtu mmoja Victor Guntram Mbangayao amefariki dunia baada ya kugusa nyaya za umeme zilizokuwa zimeanguka kijiji cha Narukoo chukuti wilayani Ulanga na wengine wawili kujeruhiwa picha zitafuata
Wajameni habari zenu.
Nimesikia habari za kufariki kwa yule ndugu aliyepigwa risasi na polisi kule Tegeta wakati wa operesheni ya Polisi kuondoa magari yanayoegeshwa pembezoni mwa barabara, je...
I was watching the opening of GAVI Forum on TBC yesterday on TBC. I was astonished when Yvonne broke the protocol and called His Excellency the President Dr Jakaya Kiwete, Graca Mashel and Dr...
Salaama wana jf?
Nimepanda mipapai ile ya muda mfupi na nimejitahidi kuhakikisha inapata maji na mbole ya kutosha Ila cha kushngaza naona asilimia kubwa yote ni midume yaani ni ile isiyotoa...
Sidhani kama niko sahihi, ila ndo ninachokiamini tatizo sio CCM wala Kikwete, sijui kwa nini watanzania hatujui hili tatizo. Ni sisi wenyewe watanzania kukosa uzalendo na nchi yetu kwa tabia zetu...
Mabeberu walimchagua mcheza ngoma mzuri kabisa aliweza kucheza ngoma za mitindo mbalimbali nao walimpata IDD AMINI ambaye walimtumia kuivuruga TANZANIA.
HAYA NI MANENO YA SAMORA MACHEL...
Inakadiriwa kuwa wateja wapato milioni tatu wa mitando ya simu za mkononi nchini wanatumia simu ambazo ama ni feki au hazina viwango na kwamba ni hatari kwa usalama wao. Katika kulinda ubora wa...
Basi la kutoka Tabora kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya Jengo la mkuu wa mkoa,majeru ni wengi,tunashukuru watu wa usalama wamefika kwa wakati na wanatoa msaada mkubwa.
Hakuna aliefariki...
Eric Platt | Dec. 3, 2012, 9:19 AM | 354,756 |
Vehicles burn in the street after protestors reacted to bomb blasts which targeted a Shiite Muslim processions in Lahore, Pakistan.
As the...
Hivi karibuni nimeanza kuwapata Clouds FM hapa Bukoba. Mida ya asubuhi kwenye kipindi cha Breakfast wanaendesha campaign ya Twaweza-Ni Sisi! Ni campaign nzuri sana kwa somo la Uraia na kujitafutia...
Nimeikuta hii kitu facebook;
Kwa kifupi:
Taarifa zilizolifikia jeshi la polisi zinaonyesha kuwa kuna kikundi cha wahalifu wanaopendelea kuwa karibu na vituo vyakujazia mafuta ambao hujifanya...
kumekuwa na katabia kanachofanywa na NMB wakishirikiana na hazina kuchelewesha mishahara ya watumushi wa umma kwa kuwa wanapitishia mishahara yao bank tofauti na NMB.
Huu ni mwezi wa tatu au nne...
D - Drive
R - Reverse
P - Parking
2 - ?
3 - ?
L - ?
Power or EMCT?
Over Draft?
Na kadharika
Hizo zenye alama ? Ndo binafsi zinanichanganya uhalisia wa matumizi yake yakinifu
Skype: alfred.kohi
waungwana mwenye kujua kwa undani biashara ya matangazo kwa maana ya advert in various media such as magazine inaweza kufanyika kwa ufanisi? waungwana changia
Wana Jamvi.
Msimu huu wa sikuku wengi ndio tunapenda Kusafiri na Familia zetu kwenda Makwetu vijijini.
Hapa Dar Eas Salaam wengi ni wakuja tu.
Wengine tunatumia usafiri Binafsi wengine mabasi...
Taarifa iliyotolewa leo na magazeti, inaeleza kuwa kuna maofisa wa polisi wanashirikiana na matajiri wakubwa wahalifu kuingiza mizingo ya hatari kupitia njia za panya, maeneo ya vukwe za bahari...