vodacom

Ados

Senior Member
Feb 26, 2011
117
0
vodacom mmetukatil na kuvunja moyo kuondoa cheka ya dakika 30 wengine kuliko kubaki voda bora twende Tigo, ombi letu mrudishe kama ilivyo kuwa kwanza
 

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,424
2,000
Hawa watu wizi mtupu na wanafanya hivyo baada ya kugundua taifa hili halina watendaji zaidi ya wazugaji. Wenye maneno mengi sana lakini utendaji sifuri. Nina hasira sana na haya makampuni kwa wizi wanaowafanyia raia. Leo wamenizuga nimepokea sh 1000 baada ya kununua luku. Lakini cha ajabu niliongea dakika moja tu tena kwa NO ya voda to voda.
Wizi mtupu!
.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom