biashara ya matangazo vipi inalipa

biashara ya matangazo vipi inalipa

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
waungwana mwenye kujua kwa undani biashara ya matangazo kwa maana ya advert in various media such as magazine inaweza kufanyika kwa ufanisi? waungwana changia
 
ndugu hatujakuelewa kabisa una maana gani na post yako uliyotuma?
 
sasa wewe mzito mbona unaingilia kona za watu kwani yeye ana mdomo wakunijibu we hujui kuwa hajaiweka vizuri post yake aliyoituma, na huyo kiongozi umempata wapi akikuona umeweka picha yake hapo atakuchukulia hatua za kisheria wewe mm naenda dodoma kumwambia tuone maana umezoea kuingilia kona za watu wewe naenda kukukshtaki kwake kuleeee
 
Back
Top Bottom