Samora na Idd Amin Wanamtandao na KIKWETE

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,392
3,201
Mabeberu walimchagua mcheza ngoma mzuri kabisa aliweza kucheza ngoma za mitindo mbalimbali nao walimpata IDD AMINI ambaye walimtumia kuivuruga TANZANIA.
HAYA NI MANENO YA SAMORA MACHEL.
Lakini kwa leo tunaweza sema WANAMTANDAO ambao hapo mwanzo hatukujua wanacheza ngama gani nao walimchagua MCHEZA NGOMA MAHIRI wakatukabidhi kumbe lengo lao halikuwa kuleta maendeleo bali kutafuna RASILIMALI ZA TANZANIA. Hakika walimpata tuliposhtuka tuliwasambaratisha ila bado wanalindana.
KWA KWELI KILA ZAMA NA KITABU CHAKE. HIKI NI CHA UDHAIFU NA UFISADI TU
 

Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,124
1,012
Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ameir Jeshi Mkuu mpaka 2015 mpende msipende mtajaza Seva kwa vijithread vya kizushi na kipuuzi!
 

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
623
297
tatizo sio ccm wala kikwete, sijui kwa nini watanzania hatujui hili
tatizo ni sisi wenyewe watanzania kukosa uzalendo na nchi yetu
kwa tabia zetu hata akija barrack obama ni kazi bure
hata tuletewe malaika watukufu kutoka kwa mungu holaaaa!!!
je wanaouza ARVs feki ni akina nani,tembo wanateketea maporini, nenda mahakamani kunavonuka rushwa
nenda vyuoni rushwa za ngono...
watazame walimu wanavohaha kufaulisha watoto wasiojua kusoma na kuandika
watu tai kubwa maofisini lakini hakuna kinachofanyika,watanzania leo hawapigi kura hadi wapewe kitu kidogo
kwa njia yoyote sisi kama watanzania tujue nchi ni yetu, hata nchi zilizo vurugika ulimwenguni
haikuwa abruptly, but very slowly kama tanzania
we need a person ataeingia madarakani kwa njia tofauti na hizi tulizozizoea
huuu u-chadema, na u-ccm kwa mtazamo wangu si lolote si chochote
ni mtazamo jamani tusitafutane
 

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,774
7,339
Mkuu kwa hapo bado hauja nipata ngoja cdm wenzio sasa hivi wata shuka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom