Basi la Coast Line lapata ajari Babati

steyn

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
371
225
Basi la kutoka Tabora kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya Jengo la mkuu wa mkoa,majeru ni wengi,tunashukuru watu wa usalama wamefika kwa wakati na wanatoa msaada mkubwa.

Hakuna aliefariki hadi sasa
 
Dec 11, 2010
3,321
0
Ajali zimekuwa rafiki wa karibu wa safari zetu maana wasimamizi wa usalama barabarani pamoja na madereva wanapalilia urafiki huo. Tusipo chukua hatua wenyewe itazidi kula kwetu huku tukiachwa na vilema vya kudumu kama sio vifo!
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,302
2,000
polen majeruhi, hila hayo mabasi ya Coast line yanakimbizwa sana
Mimi nimekata tiketi ya kesho kutoka Dodoma kwenda Moshi na nikweli yanakimbia nataka niwahi kufika mapema na sio kwenye ajali.
MUNGU awape ahuweni majeruhi wote, kesho nalipanda tu sina ujanja liniwahishe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom