What did Yvonne Chakachaka meant when she broke the protocol on GAVI forum opening at state house!

osalwenye

Member
Apr 1, 2012
21
2
I was watching the opening of GAVI Forum on TBC yesterday on TBC. I was astonished when Yvonne broke the protocol and called His Excellency the President Dr Jakaya Kiwete, Graca Mashel and Dr Hussein Mwinyi and gave them each a CD to watch. I don't know the content of the CD and why she handed that in personal.....I don't know if that was in the program...she declared to break the protocol!

What strike me most is when she said these:
' I sang for the great leaders who made her enjoy her freedom in his country .....Nelson Mandela. She doesn't want aids given to save lives of innocent children and women of Africa to end up in leaders pocket in Swiss Bank Account and the last one is when she ask the president if he will watch the CD and make sure she will sing his legacy after 20yrs'

What did Yvonne want to potray.?,If we think and analyze critically on this, what does this mean for a lady to break the protocol and spoke those words?
Guys if you see a bigger picture than me please
assist!
 
Hukumuona Kikwete akitingisha kichwa kufurahia muziki.Mbona kawaida kupewa vitu mkononi.,Kwani alikataa au kuna mtu yoyote alikuja kumzuia Machaka.: Mara nyingi tu Vicky Kamata amekuwa akimpelekea Cd na hata barua kila anapomaliza show zake kutumbuiza na hakuna mtu anamzuia hta mabodigadi wanampisha,hii ndo tz ww na yule ndo Rais wetu we upo ulaya nin.?
 
Naomba unijuze.,vp Rais wng hakuomba kupiga picha na Ivonne Machaka,maana anapenda kubaki na ukumbusho wa picha za mastaa..
 
Kichwa cha Jabari kimono kobovu. "what did ....meant" sip kiingereza.

Macinkus
 
yah hii ni kitu ya kufikiri critically kuna jambo la ziada.
Mkuu jitahidi lakini kwenye kimombo chako una mix mambo unatumia helping verb ikiwa in past tense tena unaharibu mbele kwa kuifanya main verb past pia. (matter of correction)
 
Hellow protocols zinakuwa observed kama wewe ni 'extraordinary leader' uko smart na hauko corrupt. Wewe hujaona kijembe alichotoa YVONE, 'Niahidi kuwa utaokoa maisha ya watoto, niahidi kama fedha hizi za misaada hazitaishia mifukoni mwa viongozi au kwenye mabenki ya Uswizi ili miaka 20 ijayo nikuimbie wimbo wa kukusifu'. Maana yake sasa hivi hafanyi lolote kuokoa maisha ya watoto na fedha zinaendelea kuibiwa na wajanja wachache na kuhifadhiwa kwenye mabenki hayo. kalagabaho!!
 
I was watching the opening of GAVI Forum on TBC yesterday on TBC. I was astonished when Yvonne broke the protocol and called His Excellency the President Dr Jakaya Kiwete, Graca Mashel and Dr Hussein Mwinyi and gave them each a CD to watch. I don't know the content of the CD and why she handed that in personal.....I don't know if that was in the program...she declared to break the protocol!

What strike me most is when she said these:
' I sang for the great leaders who made her enjoy her freedom in his country .....Nelson Mandela. She doesn't want aids given to save lives of innocent children and women of Africa to end up in leaders pocket in Swiss Bank Account and the last one is when she ask the president if he will watch the CD and make sure she will sing his legacy after 20yrs'

What did Yvonne want to potray.?,If we think and analyze critically on this, what does this mean for a lady to break the protocol and spoke those words?
Guys if you see a bigger picture than me please
assist!

I have really struggled to understand what you wanted to say.
 
Umeona eeeh, ingekuwa njema kama angeandika kiswahili tu

aah Mkuu mbona naye bingwa kiswahili mbovu mbovu...

jabari.!..kimono.!.kobovu.! maana yake nini? au ni misamiati mipya.!
 
Last edited by a moderator:
Si amesema ukweli jamani? kosa nini? kwani hakuna chenji zetu huko Uswisi? Ni uongo? Protocal gani amevunja hapo? Kwanin Bwana Alfani apokee, mbona kapewa jambia juzi kule Oman na alipokea? aahhhhh sijui bhana ila kweli ITATUWEKA HURU
 
Jana TBC ilikuwa inarusha matangazo ya moja kwa moja ya GAVI Alliance Forum ambayo ilikuwa inahusisha wahisani wa mfuko huo amabo ni mahususi kwa kusaidia kupatikana kwa chanjo za watoto bure kwa nia ya kupunguza vifo kwa watoto chini ya miaka mitano.

Kupitia TV sikuweza kumuona Nape bali mwenyekiti wake wa CCM na baadhi ya makada lakini kama mwenezi wa chama natumaini aidha alikuwepo au alifuatailia kupitia runingani kwa umakini.

Maneno aliyoyasema Yvone Kwa Mwenyekiti ni haya yafuatayo:-

1. Let partners' money not go back to swiss banks

2. You should walk the talk

3. What makes you proud if things are not in right ways

Kwa mtazamo ni maneno mazito kwa CCM na ni vizuri Nape kama mwenezi akayaeneze kwa CCM wenzake badala ya kupamabana na umiliki wa kadi ambao hauna tija kwa CCM wala kwa Taifa
 
Hayo maneno ni mazito kweli, ila yataingia kupitia sikio la kulia na kutoka kupitia sikio la kushoto. Ufisadi haufanyiki kwa bahati mbaya au kwa kutokujua, ni makusudi matupu. Tusitegemee jipya.
 
Hayo maneno ni mazito kweli, ila yataingia kupitia sikio la kulia na kutoka kupitia sikio la kushoto. Ufisadi haufanyiki kwa bahati mbaya au kwa kutokujua, ni makusudi matupu. Tusitegemee jipya.

kilichonifurahisha ni facial expression aliyoonyesha mwenyekiti ilionyesha kumuingia moyoni kwa maneno hayo mbele ya mabalozi
 
[h=2]
icon1.png
Maneno ya Vyone Chaka Chaka kwa Nape na CCM yake[/h]

- Chaka Chaka amekuwa msemaji wa Chadema? Toka lini?

Es!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom