akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
Salaama wana jf?
Nimepanda mipapai ile ya muda mfupi na nimejitahidi kuhakikisha inapata maji na mbole ya kutosha Ila cha kushngaza naona asilimia kubwa yote ni midume yaani ni ile isiyotoa matunda na nimepanda zaidi ya mashina 50.
Naombeni ushauri wa namna ya kuifanya itoe matunda
AsAnteni!